Search results

  1. Zeus1

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    Mpaka tufikie hivyo kwa serikali ya ccm, Labda YESU arudi.
  2. Zeus1

    Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    You are smart.
  3. Zeus1

    Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    Hapo kuna hela ya bure ilitakiwa uile,simple tu.
  4. Zeus1

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Yeah,alikuwa mtata sanaaa
  5. Zeus1

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Miezi miwili??? Yupi wa kike?
  6. Zeus1

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    HI've alikuwa anamiliki sio Andrew father sijui?? R.i.p mkwe
  7. Zeus1

    Nahitaji mkopo

    Ukiwa na leseni ya biashara nani anaweza kukupa mkopo?
  8. Zeus1

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Hiki ndo nilikuwa nakifkilia,yaani aingie mzima mizma then wajomba wafanye jambo
  9. Zeus1

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Kiukweli kwenye ile video ya professor zali la mentali,alikuwa pisi sanaaa. Nilikuwa namkubali sana
  10. Zeus1

    Jifunze kuhusiana na sarafu hii Pi

    Hiyo pi inazingua sana,zimekuja renec,ice,avive,eagle n.k zimeikuta pi na zimekuwa listed,hiyo pi miaka na miaka mpaka leo story tu,hamna kitu. Hata ikienda mainnet haitakuwa thamani
  11. Zeus1

    Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

    Angeanza kulia ningeshangaa,hawa jamaa kuhusu kifo kwao ni kwaida kabisa. Ndio maana kuua mtu kwao ni sawa na kuchinja kuku tu.
  12. Zeus1

    Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Mkuu unaongea kama yule jamaa wa hovyo hovyo nimesahau jina lake,sijui lupyana..au ndo wewe[emoji3][emoji3]
  13. Zeus1

    Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

    Daah ,hatari sana Angalia tu hata hayo mazingira na hiyo ndoo mtu kweli ànapikia chakula. Sitokula tena huu upuuzi.
  14. Zeus1

    10 Most Underrated TV Shows

    Hapo,the strain na banshee ni movie series kali sanaa.
  15. Zeus1

    Picha: Pyongyang Korea Kaskazini

    Hao jamaa ndo unaambiwa hawaimport chochote kutoka nje,ila angalia walivyo vizuri aisee. Na nina uhakika africa tuna rasilimali nyingi kuliko wao.
Back
Top Bottom