Search results

  1. Jaslaws

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mnafanyia kazi gani nyie wapumbavu??tangu juzi?hii ni karne ya 21!!mmeturudisha nyuma wajinga nyie!! samaki wote wameoza nyama yote imeoza!!nyie ni wapumbavu sana narudia tena nyie ni wajinga sana!!
  2. Jaslaws

    Msaada: Namtafuta msimamizi wa mirathi au ndugu yeyote wa Sabetha Mwambenja

    Habari wanajukwaa, Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank). Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba...
  3. Jaslaws

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Jana nilizungumza na jamaa mmoja wa tanesco,akaniomba nimtumie namba yangu ya luku hili animunulie token na kweli token zilinunuliwa!!
  4. Jaslaws

    Kuwa wakala wa vinywaji (soda na bia)

    Uzi upo huku search utaona
  5. Jaslaws

    Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

    HIVI KUMBE ONTARIO NDO SIRJEFF WA TWITTER??:D
  6. Jaslaws

    Harmonize aligoma kupokea mkono wa King Kiba ila leo Bosi Sallam amegoma kupokea mkono wake imekuwa nongwa

    kwa mentallity ya salam leo,dogo hermo hakua na budi ya kuwa na mabodyguard..
  7. Jaslaws

    Harmonize aligoma kupokea mkono wa King Kiba ila leo Bosi Sallam amegoma kupokea mkono wake imekuwa nongwa

    we jamaa umetoka leo kamachumu unakuja hapa kutuongopea...
  8. Jaslaws

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    acha kutisha tisha watu kibwege we jamaa...
  9. Jaslaws

    Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    leo niko maeneo haya ntjitahidi kuwapiga picha hawa wauwaji ntaziupload hapa...
  10. Jaslaws

    Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    ooh kweli..??atleast basi walichukulie kwa uzito..maana watatuua hawa wajinga mbaya zaid mpaka wazungu wanatoka..mimi aliyenishirkisha hili swala ni mpishi wa FQ nikafanya uchukunguzi bar yajirani wao walikiri kwamba ni kweli wanaenda pale.
  11. Jaslaws

    Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    Heshima kwenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
  12. Jaslaws

    Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

    alafu eti mtu akipiga simu wanauliza ushabiki wa timu yake.. utasikia wewe simba au yanga...yule mkule ndo hakuna kitu kabisa..
  13. Jaslaws

    SOLD: Duka la vipodozi linauzwa milioni 1,950,000 tu, lipo Stendi Tabata Segerea

    mkuu nistand upande upi?naweza kutoa m kwanza kisha nimalizie kiasi kitakachobaki
  14. Jaslaws

    Mombasa firm assembles cargo vessels for dar port agency

    google songoro marine,since u left ur homeworks undone...
  15. Jaslaws

    TCRA iimulike Airtel wa jicho la tatu

    hivi hakuna namna unaweza kuswip line kutoka 4g kurudi 3 g airtel ni too expensive kwa sasa
  16. Jaslaws

    KISUTU: Kizimbani kwa tuhuma za kulawiti na kusambaza picha za ngono

    hakuna haki isiyoambatana na wajibu.
  17. Jaslaws

    Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri ukienda kuoga?

    mwanamke kama unampiga show kisawasawa hawezi kukujibu huo utumbo..mkuu angali perfomance yako kitandani..
Back
Top Bottom