Search results

  1. Muuza simu used

    Mnaovuna alizeti tufanye biashara ya mafuta

    Mtoa mada atakuwa hajui nini maana ya pesa na huwa inapatikana Vipi,tumsamehe tu bure
  2. Muuza simu used

    Kocha Pitso Mosimane aachana na Al Ahly SC kwa makubaliano ya pande zote mbili

    Muda utaongea lakini kwa asilimia 75 anaenda kuwa kocha mkuu wa timu ya South Africa [emoji1221] kwao
  3. Muuza simu used

    Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    Mimi nauza simu used hakuna uchawi wala nini watu wanafuata mteremko tu,uchawi labda tukuachie wewe mtoa mada unaowatumainia binadamu wenzako [emoji28]hao waganga mbona hawapo kwenye List yeyote ya mabilionea?
  4. Muuza simu used

    Juzi kati nimepanda Coaster za magazeti usiku Dar-Arusha, tulipepea njiani

    Mkuu speed ya 140km kwa saa ni yakawaida sana labda kama ulijifunzia gari veta ila ina gari na gari zake za kutembea speed 180km kwa saa
  5. Muuza simu used

    Wengi huwa wanajiuliza inakuwaje Watanzania hawaishi kihalali!?

    Unajua watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni kwanini Watanzania wengi wamekuwa wakiishi bila vibali maalumu kwenye nchi za wenzetu na kuonekana ni wazembe sana! Nimezunguka nchi kadhaa lakini ngoja leo nikupe mfano mdogo tu wa nchi jirani Mozambique [emoji1174] uone ni jinsi gani kuishi kialali...
  6. Muuza simu used

    Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Inaonekana hujawahi kusafiri ama ulisafiri ukapita tu Malawi ama zambia!,mwananchi ambaye hapelekeshwi ni msouth Africa pekee lakini wa Malawi wajinga tu hawana lolote kidogo nafuu ni zambia maana kule wanafuata sana sheria sio kwa mgeni wala mwenyeji
  7. Muuza simu used

    Huwezi kuwa Tajiri bila kuchukua Risk

    Mtoa mada ana utajiri wa kula milo mitatu kwa siku wewe mwenyewe unajua jinsi ilivyo ngumu Africa kupata hata mlo mmoja na bando la kuperuzi JamiiForums [emoji851]
  8. Muuza simu used

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hiyo sio kimasihara [emoji851]kimasihara huwa hakuna maandalizi yoyote ni kaunta attack pasi mbili goli naona watu wameanza kuchanganya mada
  9. Muuza simu used

    Nimechoka, naenda kununua gari

    Dar sio mkoa mkuu ama ni nchi inayojitegemea?
  10. Muuza simu used

    Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

    Niambie Luis miquison alikuwa anagombewa na nani?,inonga alikuwa anagombaniwa na nani?,chama alikuwa anagombaniwa na nani walivyokuwa wanataka kutua simba?ukiwa shabiki wa utopolo fc lazima akili zikuruke
  11. Muuza simu used

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kigari kidogo sana mkuu bora utafute pesa ununue ndinga achana na vi baby car [emoji594]
  12. Muuza simu used

    Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

    Kwa laki 4 inabidi usiwe unahonga hata mia ukizidiwa sana chukua sheria mkononi
  13. Muuza simu used

    Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

    Kutukanwa mbona kawaida tu,umesahau yule aliyekuwa DC iringa mjini alivyokuwa anatukana wananchi?[emoji28]
  14. Muuza simu used

    Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Hapo ngoja kwanza ncheke [emoji28]
  15. Muuza simu used

    Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Kama wewe ni mwanaume uliyepiga goti wakati unamvalisha pete ya uchumba mkeo basi Mwanamke ndio ataamua kila kitu ndani ya nyumba yenu
  16. Muuza simu used

    USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

    Funguka mkuu nini kimekukuta huko ulipo?
  17. Muuza simu used

    Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Mtoa mada ameshaungwa kwenye gredi ya taifa ya umeme,maana njombe ndio inaongoza kwa umeme
  18. Muuza simu used

    Je, ni mapenzi au ana lake jambo?

    Uzi wa kifala sana kutokea hapa 2022
  19. Muuza simu used

    Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Kuna wanaume wanaona wake zao Kama vile mama zao,kuna jamaa alikuwa anamkabidhi mke wake card za benki na anajua password zote,sasa kilichotokea Mwanamke kafanya tranfer kwenye account yake kavuta mpunga wote waliokuwa wanaweka akiba akamkabithi mama yake akatoa mjengo wa fasta kwao,jamaa kuja...
  20. Muuza simu used

    Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

    Kujifurahisha nafsi ni pamoja na wewe kupewa dudulayuyu!
Back
Top Bottom