Search results

  1. Mundamushimu

    Yahudi na Palestina ndugu waliotengana muda mrefu nakusahauliana kulingana na mitazamo ifuatayo

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Soma kwenye Biblia habari za maisha ya baba imani Ibrahim ndio chanzo cha haya yanayoendelea kati ya Israel na palestina
  2. Mundamushimu

    Hivi ni kweli hawa mawaziri wanakuwa wameagizwa na Rais au wanatudanganya!

    We inakukera nini wakati hata ubalozi huwezi kupewa
  3. Mundamushimu

    Hivi ni kweli hawa mawaziri wanakuwa wameagizwa na Rais au wanatudanganya!

    Usilitaje bure jina la Waziri wangu Mh Bashungwa
  4. Mundamushimu

    IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

    Kwani kwa akili yako hayo maji ya ziwa Victoria huyaoni mpaka useme mikopo tunaitumia vibaya
  5. Mundamushimu

    TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Hivi unaongelea mikopo ya maji ya Kilimanjaro au nini haswa
  6. Mundamushimu

    TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

    Uwe muelewa kodi ya jengo imepanda kutoka shilingi 1000 mpaka 1500 hivyo wamekata kodi ya jengo ukabakiwa na 9500 ndiyo iliyonunua umeme
  7. Mundamushimu

    Watanzanzia wanajua fika wanaibiwa na hawamtakki raisa Samia ila basi tu

    Tafadhali usiwasemee wengine ni wewe tu na roho mbaya inayokuandama
Back
Top Bottom