Search results

  1. george aloyce

    Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

    MY STORY; NATAMANI NINGEKUA NA NGUVU YA KUMUACHA MKE WANGU KAMA ALIVYOFANYA BABA MKWE! Kila tulipogombana na mke wangu, alikuwa mtu wa kukimbilia kwao. Akifika huko, mama yake ananipigia simu ananitukana wee, mimi nitaomba msamaha hata kama ni kitu cha kijinga namna gani. Lakini kama mwanaume...
  2. george aloyce

    Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Mpaka nimeamua kukuandika sijui nifanye nini, mimi ni kijana wa miaka 33 nimeoa na nina mtoto mmoja na sasa hivi mke wangu amekwenda nyumbani kwetu kujifungua na hii ndio sababu ya mimi kuja kukuandikia. Iko hivi, mimi na mke wangu tulikuwa vizuri sana katika ndoa yetu, ni mwanamke ambaye...
  3. george aloyce

    Nilifanya mapenzi kinyume na maumbule 2016, mwaka huu imemfanya mchumba wangu kuniacha kabla ya ndoa!

    Kaka, kuna kitu umeniandikia leo kimenigusa sana, hiyo ishu ya kuwa karibu na marafiki kwamba rafiki yako ndiyo kila kitu, mimi imenikuta na naumia mpaka sasa sijui kwanini siku zote sikushtuka wakati nakusoma na ulishaandika tangu mwaka 2017 nakusoma. Iko hivi, mimi ni yule mtu ambaye siwezi...
  4. george aloyce

    Ifahamu nchi ambayo haina maskini hata mmoja, wote ni matajiri

    YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI 1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI 2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanamiliki magari ....wastani wa 1 kwa mtu 1.5 3) Sheria zake nyingi zinasimamia upande wa sheria za...
  5. george aloyce

    Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

    "Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap! Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee...
  6. george aloyce

    Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    Nimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku Songea ni kijijini sana. Huyu kaka wakati nakutana naye tulikuwa Arusha ila akaja kuhamishwa huku...
  7. george aloyce

    Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

    Na. Mwanaume Story Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia...
  8. george aloyce

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani...
  9. george aloyce

    Ujue mtaa ambao Kila Mwananchi anamiliki ndege nyumbani kwake

    ENEO AMBALO KILA MKAZI ANA MILIKI NDEGE Tumezoea kuona ukipita mitaani utakuta nje ya makazi ya watu kuna maegesho ya magari lakini imekuwa tofauti kidogo kwa eneo la Cameron Park, lililopo California, nchini Marekani ambapo wakazi wake wengi wanamiliki zaidi ndege kuliko magari, na kwamba...
  10. george aloyce

    Nilimfukuzisha mume wangu kazi na sasa amenitelekezea Watoto

    MY STORY; NILIMFUKUZISHA MUME WANGU KAZI SASA KANITELEKEZEA WATOTO! Sikua na shida yoyote na mume wangu, alikua ni Baba wa familia anayejali kwa kila kitu. Lakini nilikua si ridhiki, kila nilipokua nikiona wenzangu wana maisha mazuri nilijikuta nakua na hasira, natamani kuwa kama wao. Rafiki...
  11. george aloyce

    Fahamu jinsi ya kumiliki mgodi wa madini nchini Tanzania

    JINSI YA KUMILIKI MGODI WAKO KISHERIA NCHINI TANZANIA. KISHERIA:madini yote ni mali (nyara) ya serikali KUU na serikali hiyo ndio yenye mamlaka ya kumpatia mtu leseni ya uchimbaji pale inapotokea mtu huyo kaomba leseni yakuchimba madini hayo yaliyopo katika eneo flani. Serikali hii humpatia mtu...
  12. george aloyce

    Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

    Nipo Dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa , Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara, Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu , Utakuta fremu Dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni...
  13. george aloyce

    Ushauri: Nimemuacha mume wangu yeye hataki kumuacha mkewe

    MAJUTO; NAISHIJE NIMEMUACHA MUME WANGU YEYE HATAKI KUMUACHA MKE WAKE! Mimi ni mama wa watoto watatu, nimeolewa kwa miaka 12 sasa. Mwanzoni, mimi na mume wangu tulikuwa sawa sana. Alikuwa mfanyakazi wa shirika moja kubwa, lakini alifukuzwa kazi wakati suala la vyeti feki lilipokuja. Alikuwa...
  14. george aloyce

    Manara hatoacha drama kwa sababu ndio zinampatia ugali

    Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi. Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya kawaida huwezi oa kila mwaka, na kuwapa talaka na kuoa tena. Kwani aliowaacha wana kasoro gani...
  15. george aloyce

    Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

    Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani 1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza 2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwa ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema. 3: Usilazimishe kujibu...
  16. george aloyce

    Mafanikio hubeba Kila aina ya uchafu duniani

    Ushawai jiuliza kwanini hufanikiwi?, Ushawai jiuliza nafanya Kila biashara na pia nashindwa fanikiwa? Nakujuza kitu ukihitaji kufanikiwa, Cha kwanza lazima ujue nini maana ya mafanikio , lakini pia unatakiwa ujue unasimamia mlango upi ? Kuna milango miwili tu, Giza na Nuru , Kuna rafiki yg ni...
  17. george aloyce

    Falsafa huishi bali upuuzi haudumu

    Some time umejaribu kuonesha hisia zako kwenye andiko lako humu na zikiishia kufutwa na kupotezwa , but usijari comment za wadau humu basi we andika moyo wko upone , unaposubili coment jua utaumizwa zaidi , Mwalimu wg ashawai niambia ukijiona una hasira chukua karatasi nyingi andika jambo...
  18. george aloyce

    Mkasa wa kweli, nilifungwa gereza la wanawake kimakosa sitosahau nilioyaona

    [emoji725]CHOMBEZO: NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• SEHEMU YA 01 "Na kesi imehairishwa mpaka tarehe ishirini na moja ya mwezi ujao, mtuhumiwa aende gerezani kwa sababu ya shtaka lake hili zito hatoweza kuwekewa...
  19. george aloyce

    Mdogo wa mke wg ana mimba yg ,hataki kutoa

    Mimi sitaki ushauri, nataka tu uniambia kama kuna namna ambavyo ninaweza kufanya mimba ikatoka bila mhusika kujua. Mimi ni Baba wa watoto wawili, nina miaka 42, nimeoa na mke wangu yuko vizuri, ana kazi nzuri kuliko mimi, ana kipato kikubwa kuliko mimi na yeye ndiyo kila kitu. Mimi nafanya tu...
  20. george aloyce

    Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

    MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU! Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua...
Back
Top Bottom