Search results

  1. twahil

    Rais Dkt. Magufuli fukuza wote wanafiki

    Wana bodi salaam, Kwa yanayoendelea nchini kwasasa kukaa kimya ni kuunga mkono unafiki. Nianze kwa kuwapongeza watanzania wote wanaomuunga mkono Rais Magufuli katika vita ya kupambana na wanafiki na mafisadi kwani hatupaswi kukaa kimya bila kumpa nguvu. Mafisadi na wanafiki wamekuwa wakitumia...
  2. twahil

    Viongozi wa juu Serikalini mueleweni Rais Magufuli

    Salaam wana bodi, Baada ya kusikiliza hotuba ya Rais John Pombe Magufuli aliyoitoa baada ya kuwaapisha Waziri Bashungwa, RAS Kichere na CG TRA nimebaini kwamba bado viongozi wetu wakuu hawajamuelewa Rais Magufuli dhamira yake ni nini. Leo Rais Magufuli kaongea kwa uchungu mkubwa na ukali...
  3. twahil

    Mwangwi wa Kishindo cha Dkt. Magufuli

    Wakuu salaam, Ni takribani miaka mitatu sasa tangu Dkt. Magufuli awe Rais wa Tanzania. Hakika ushindi wa Magufuli lilikuwa pigo kubwa sana kwa wasioitakia mema nchi yetu. Katika kipindi chake cha urais ambacho bado anakitumikia, Dkt. Magufuli amejitanabaisha kwa umma wa watanzania na ulimwengu...
  4. twahil

    Suala la Lissu: Serikali tumeisikia, sasa familia ichukue jukumu lake

    Salaam wana bodi, Tangu Mheshimiwa Tundu Lissu adhuriwe huko Dodoma na hatimaye kupelekwa Mjini Nairobi-Kenya, kumekuwepo na mijadala, mivutano na malumbano mengi sana juu ya namna suala hili linavyoshughulikiwa. Kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiongeza kasi ya kuhamasisha...
  5. twahil

    Viongozi wa Vyama vya Upinzani Kumuunga Mkono Magufuli ni Dalili ya Kushindwa UKUTA

    Wasalaam, Katika ziara za kikazi Rais John Magufuli alizozifanya Singida na Shinyanga-Kahama, tumeshuhudia viongozi wa vyama vya upinzani wa ngazi za vijiji, mitaa na kata wakijitojeza na kutangaza hadharani kumuunga mkono Rais John Magufuli... Hali hiyo haiashirii ushwari ndani ya CHADEMA na...
  6. twahil

    Rais Magufuli atekeleza matakwa ya wafanyakazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani Octoba, 2015 ameonekana kutekeleza matakwa ya wafanyakazi wa Tanzania. Wafanyakazi kipitia umoja wetu wa TUCTA tumekuwa tukipigia kelele Serikali kufanyia kazi mambo yafuatayo:- 1. Watumishi hewa: Tumesema watumishi hewa ni jipu na likitumbuliwa fedha...
  7. twahil

    Duni Haji: Ndani ya CHADEMA kila mtu ni Kambale

    Katika mahojiano yake na Azam TV Babu Duni ambaye juzi amerudi CUF amesema kuwa ndani ya CHADEMA kila mtu ni kambale. Babu Duni amesema kwamba kuna bureaucracy kubwa sana ndani ya CHADEMA kiasi kwamba agizo linalotoka juu ngazi ya Taifa linaweza kukataliwa na ngazi ya jimbo kwakuwa kila mtu ana...
  8. twahil

    Interview sekretariet ya ajira.

    Solved.
  9. twahil

    Kofia zaidi ya 2 za uongozi.

    Ndugu zangu baada ya Rais Kikwete kuteua ma-RC kumekuwepo mjadala wa kofia 2 za uongozi wakati kuna vijana wengi hawana kazi na wamemaliza vyuo vikuu.Hivi kwanini lawama hizi zielekezwe kwa viongozi wa serikali pekee wakati wapo hata wanasiasa wengine wamejilimkizia vyeo?.Nitachukua case study 1...
  10. twahil

    Vijana wa Mzizima wanateketea.

    Ndg. Zangu nimeamua kuandika hapa ili tuone tutawasaidia vipi vijana wa K'KOO MTAA WA MZIZIMA-BONDENI.Juzi nilishangaa kuwaona baadhi ya wabunge wakilia kutokana na athari za madawa ya kulevya hapa nchini.Hakika nimejionea live bila chenga kwa kuona vijana wakitumia madawa hayo na bangi kwao ni...
  11. twahil

    matokeo ya usaili nida.

    Solved.
  12. twahil

    Vitambulisho vya taifa kulikoni?

    Wananchi bado tunapaswa kujitokeza kujiandikisha ili tupatiwe vitambulisho vya taifa. NIDA pia watoe kwa wakati vitambulisho hivyo.
Back
Top Bottom