Search results

  1. Daudjuma

    Unyang'anyi wa nguvu Maeneo ya wananchi Nyatwali, Serengeti

    Kwan wanaoishi kwenye vijiji hivi ni wakurya tu?
  2. Daudjuma

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Tatizo lako ndugu ni ukosefu wa mlo kamili.Yaan wewe na vyeti feki ni kama hawara wa mama yako unavyomchukia.Pia nahisi hata maana ya vyeti feki huijui kutokana na utapiamlo unaokusibu. Ifike hatua uone aibu, Naongea hivi kutokana na mada zako nyingi umekuwa unaonesha hasira dhidi ya hawa ndugu...
  3. Daudjuma

    Uchaguzi CCM Magu: Mwenyekiti aliyemaliza Muda wake ajiuzuru kwa kuacha Maelekezo kwa lugha ya Kisukuma

    Wilaya ya Magu iliyopo Mkoani Mwanza leo trh 02/10/2022 inafanya uchaguzi wake wa kuwapata viongozi wa CCM. Kama ilivyo desturi ya ccm, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndg Zabron amepewa muda wa kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu na kuombwa na msimamizi wa uchaguzi avunje rasmi iliyokuwa...
  4. Daudjuma

    Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Wewe ulikuwa Rais wa Tls,kwani unachokieleza hukukiona wakati ukiwa Rais?
  5. Daudjuma

    Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    P,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?1.HIVI MABEBERU YALIYOMTUMA LISU KUJA KUGOMBEA URAIS NI YAPI? 2.HIVI LISU KULE UBELGIJI ALIENDA KUFANYA NINI? 3.HIVI NI KWELI TUKO...
  6. Daudjuma

    Lissu hapa umetupotosha na kumdanganya Umma

    Mtoa mada Lisu hajaanza kampeni, bado anatafuta wadhamini, kampeni zikianza ndo utoe huo ushauri mkuu.
  7. Daudjuma

    Uchaguzi 2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    Acha longolongo na upotoshaji, kila mwenye masikio amesikia vyema jinsi alivyoliongelea suala la machinga.
  8. Daudjuma

    Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

    Ila jamani ni kwa nn chadema hawaanzishi media yao? Kuna nn, ina maana hili suala siyo kipaumbele chao? Miaka nenda miaka rudi wananyanyaswa wapo tu. Any way kwao ni sawa tu,Sasa wasilalamike .
  9. Daudjuma

    Uchaguzi 2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

    WAJUMBE SIYO WATU,NI NYOKA WA NDIMI TATU.Nashauri kwa Ngazi za maamuzi ziteue Mjumbe miongoni mwa waliopata sifuri ndo jina lirudi ili iwe fundisho kwa wimbi la WATOA RUSHWA na WALA RUSHWA WAO@wajumbe.Vinginevyo wenye pesa wataendelea na mchezo huu milele.
  10. Daudjuma

    Kusambaa kwa corona: Rais Magufuli nakuomba uchukue hatua hizi na nyinginezo utakazoshauriwa na wasaidizi wako vinginevyo unaweza kuja laumiwa

    Mtoa Mara uko sawa kabisa,ila hofu yangu ni utekelezaji,Binafsi nashindwa kuelewa kama viongozi wetu wanakiona kinachoendelea kwa wenzetu wa Dunia ya kwanza.Nakuunga mkono kwa maana ya kwamba vita hii ni kuwa kuliko ile ya kwanza na ya pili.Kibaya zaidi vita hii adui haonekani kwa...
  11. Daudjuma

    Tundu Lissu anahitaji msaada wa kisaikolojia, watu wake wa karibu wamrudishe Hospitali akatibiwe kisaikolojia hayuko sawa

    Mtoa mada naona akili hazimtoshi na si wa kujibiwa tu bali ni ms enge tossha.
  12. Daudjuma

    Kuelekea uchaguzi 2020: Serikali yasalimu amri kwa waliojenga makazi holela, sasa kurasimisha makazi hayo

    Shida ni mchakato wa kuipata hiyo hati,utazungushwa hadi miguu iote nyasi na rushwa juu/
  13. Daudjuma

    Wateule wa RAIS siku nyingine mwacheni Rais apalangane na wachaguliwa wenzie kama leo.

    Ina maana haujagundua kuwa Makonda alilazimishwa kuwaalika wabunge wa upinzani?
Back
Top Bottom