Search results

  1. N

    Natafuta mtama mwekundu

    kuwa serious mkuu hebu piga simu au beep tuongee bei sio kuanika hadharani hii ni biashara privacy inatakiwa
  2. N

    Natafuta mtama mwekundu

    sio kwamba unatakiwa ulete mzigo bukoba tutapanga bei ya hapo ulipo na mimi nitafuata hapo na sasa nimepata order kubwa kidogo nataka tani 50
  3. N

    Natafuta mtama mwekundu

    Hallo wanajamii ninaomba mtu yeyote ambaye anaweza kunipatatia mtama mwekundu kwa kiasi cha kila derivery tani kumi anipe bei ya pale alipo kwa kilo moja. Asanteni sana kwa walio serious piga 0764312429. God bless.
  4. N

    Natafuta ngo yakushirikiana nayo kutekeleza mradi

    Asante sana kwa ushauri kaka zangu ushauri hapo juu ni wa busara na kitaalam zaidi hasa kwa kuzingatia mambo ya ownership ila kaka kwenye mradi huu hakuna limitation ya muda kwani huyu bwana ndo ametoa idea ya ushirikiano baada yakumwambia kuwa sina papers. It sound easy lakini kaka mara...
  5. N

    Natafuta ngo yakushirikiana nayo kutekeleza mradi

    Wakuu habari za miangaiko mimi ni kijana mwenye shahada ya mazingira ( Bachelor of Science in Environmental Management) baada ya kusaga sana viatu kutafuta ajira nikajikuta nakuwa na wazo la kujiari na kuajiri wengine pia. Asante kwa mitandao ya siku hizi! nilipoweka idea yangu na profile...
  6. N

    Natafuta ngo yakushirikiana nayo kutekeleza mradi

    Wakuu habari za miangaiko mimi ni kijana mwenye shahada ya mazingira ( Bachelor of Science in Environmental Management) baada ya kusaga sana viatu kutafuta ajira nikajikuta nakuwa na wazo la kujiari na kuajiri wengine pia. Asante kwa mitandao ya siku hizi! nilipoweka idea yangu na profile yangu...
  7. N

    Business deal

    ndugu uliyetaka details nimeku pm kwa mail ulonipa asante
  8. N

    Business deal

    Hi wanajamvi badala ya kusaga viatu kutafuta vibarua tupo hapa Ngara tumeamua kujiajili katika sekta ya viwanda vidogo kama wajasiliamali tunaomba kama kuna mtu anaweza kutusupply fats ( mafuta ya mawese) hapa Ngara kagera tuwasiliane tupo katika biashara ya saponification. Kwa wenzetu waliopo...
  9. N

    Motisha kwa wanaotaja wakwepa kodi

    Ndugu wanajamvi jana nimesoma post hapa kuwa nchi yetu inakalibia kufikia kiasi cha kutokopesheka kutokana na inavyokomba pesa kwenye taasisi za fedha! Maskini Mkwele! Napenda kuuliza hapa kwetu kuna sheria inayomlinda raia mwema pindi atoapo taarifa za watu wanaokwepa kodi? na sheria ikoje...
  10. N

    Je unawafahamu hawa oxride co. Limited?

    majambazi wakubwa hawa hata hapa Ngara walitoa matangazo km hayo namba zao hazijasajiliwa hata mamlaka ya mawasiliano. Kweli tutaibiwa sana!
  11. N

    Tawi la CHADEMA chuo kikuu Mwenge - Moshi laazimia kufanya harakati nchini kuimarisha chama vijijini

    Well done nikipita tu........................................... Mary_Xmass
  12. N

    Why Tanzania is top 'beggar' after Iraq, Afghanistan

    sijui kwa nini nimepita hapa jamani jumapili yangu!
  13. N

    Serengeti breweries

    lugha za kiforum wengine tabu hata sijui maana ya pm ila najua ukipata wasaa utasaidia na ndugu yangu wa mwanza serengeti brewer nakushukuru wacha nivute subira.
  14. N

    Serengeti breweries

    Tumejaribu web yao ya eabl lakini tunashindwa kupata ipo so loaded na network ya hapa kwetu in shida sana ndo maana tunaomba walio kwenye fastest net watusaidie bandugu.
  15. N

    Serengeti breweries

    Hallo wanajamvi sisi ni vijana wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera tunaomba yeyote mwenye kuweza kutupa contacts za meneja uhusiano wa serengeti breweries kwa jina la Teddy Mapunda ili tuweze kumwandikia kumuomba ufadhili wa tamasha letu la vijana hapa Ngara kwa ajili ya kuhamasishana mambo...
  16. N

    Restless development

    Wanajamvi naomba nijuzeni kama hawa jamaa wamekwisha short list applicant? Nasubiria wandugu
  17. N

    To all job seekers particularly fresh graduates

    nice move check me on mwijagejr@gmail.com
  18. N

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Good move check me on mwijagejr@gmail.com
  19. N

    Msaada wakuu

    Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali hapa wilayani ngara kagera kutokana na matatizo mengi yaliyopo hapa wilayani kielimu tumeamua kuunda CBO ambayo lengo lake ni kuanzisha maktaba na maabala kwa ajili ya wanafunzi wa mashule yalipo maeneo ya ngara ili waweze kujiongezea skills na kupata...
Back
Top Bottom