Search results

  1. A

    MZIMU WA LOLIONDO! ni kweli au?

    Ahsante sana kaka kwa hiyo link...aise hali ni mbaya kuliko nilivyofikiria mie....Lakini mie bado nailaumu Serikali na sio hao waarabu...hao waarabu wamepewa kichwa na Serikali...Serikali yetu ingekuwa ina msimamo hao watu wasingekuwa na ubavu walionao sasa...
  2. A

    MZIMU WA LOLIONDO! ni kweli au?

    Habari zenu Ndugu! Loliondo....Ninavyojua mimi ni kwamba hiyo nafasi wameuziwa waarabu kwa muda wa miaka kadha..wazungu wanasema LEASE...inaweza ikawa ya miaka 10, 20 na hata 99. Nilivyosikia mie ni kwanba ni lease ya miaka 99. Tatizo hapa ni kwamba hawa Waarabu wana mkataba kabisa ulio sainiwa...
Back
Top Bottom