Search results

  1. Pettymagambo

    Ndio maana Huwa nasema pale Simba Wenye akili zilikomaa ni MO na TRY AGAIN tu.

    Mataqo wewe mleta uzi wa kipumbav kama huu, hivi mnakosa chakupandisha hapa jukwaani mnabaki kuleta nyuzi za kibwegebwege hapa? jinga kwelikweli.
  2. Pettymagambo

    Derby kiingilio tufanye bure. Simba hawaonekani kutaka kuja Uwanja utapwaya sana

    Aaf mnajidai nyie uto ndo mnamashabiki wengi nchi hii!
  3. Pettymagambo

    Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kwahio yule jamaa anaekumegea demu wako unataka ukamalizane nae kiwanjani ili usishitakiwe?
  4. Pettymagambo

    Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

    Sawa mzee wa kuukweka, nmeacha bhange.
  5. Pettymagambo

    Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

    Sawa mkuu, kwahiyo nikikuita mzee wa kuukweka, ama bwana mkweko ni fresh tu.
  6. Pettymagambo

    Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

    Ee wewe si ulituambia kuukweka ndo ku defecate?
  7. Pettymagambo

    Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

    Kwanza umeukweka? isijekuwa umeandika huku unaharaka mkweko unakusumbua.
  8. Pettymagambo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nashukuru mkuu, niliupata siku hiyohiyo hapa jf.
  9. Pettymagambo

    Hakika hii ya Simba na Al Ahly ni kithibitisho tosha kwamba ni mechi kubwa na yenye msisimko hapa barani africa na duniani kwa ujumla

    Kesho ushindi uhakika, ila kufuzu ndo shughuli, nadhani unaelewa namaanisha nini.
  10. Pettymagambo

    Benchika atangaza vita dhidi ya Al Ahly

    Basi tutavunja kabisa
  11. Pettymagambo

    Hakika hii ya Simba na Al Ahly ni kithibitisho tosha kwamba ni mechi kubwa na yenye msisimko hapa barani africa na duniani kwa ujumla

    Ndo hivyo tena, japo CAF wanatamani lile bato la mashabiki wa simba na ahly mitandaoni, kiwanjani timu letu ni bovu kupindukia, ni kama wale asec mimosas tu.
  12. Pettymagambo

    Hakika hii ya Simba na Al Ahly ni kithibitisho tosha kwamba ni mechi kubwa na yenye msisimko hapa barani africa na duniani kwa ujumla

    Kuonesha kwamba timu ya SIMBA ni timu iliyobarikiwa na MUNGU kwa kutandaza soka tamu la viwango vya CAF na kuthibitishwa na FIFA, CAF wameamua kuipanga siku ya ijumaa iwe siku ya mechi pekee ya wanaume watupu (wekundu watupu) SIMBA na AHLY huku mitimu mingine lundo ikipangiwa kucheza siku moja...
  13. Pettymagambo

    Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

    Umeoneshwa na nani? Mara red card, mara laa! Amka ukanye utaukweka kitandani.
  14. Pettymagambo

    Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

    Kwahiyo akili yako inakuambia kabisa simba atapoteza game zote mbili ya azam na uto? huyu feitoto kaleta balaa nchini.
Back
Top Bottom