Search results

  1. L

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Peoplesssss , chezea CHADEMA weye. Big Up makamanda
  2. L

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Tulianza na Mungu tumemaliza na Mungu, Peoplessss powerrr . MUNGU ENDELEA KUIBARIKI CHADEMA.
  3. L

    Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

    Tumsamehe bure KIBONDE, huenda yuko kwenye last point vidudu vimeingia kichwani ndio maana anaropoka
  4. L

    Makinda in Kigali; Photos & News in brief!!

    Amependeza wapi domo kubwa chapati hakunji ( Gamba nalo tu)
  5. L

    Utata wa Jina na Umri wa Lulu!

    Jamani wana JF,Lulu ni mchaga, katu hata siku moja hawa ndugu zangu haswa wanawake wa kichaga hawataki kukua. Haiwezekani atimize miaka 18,leo hii aseme ana miaka 17 mara 16, hao wazazi wake nao wana matatizo, sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho, kama ni mtoto mdogo mbona ana mambo ya ki...
  6. L

    Mhe. Opulukwa ashinda kesi dhidi ya pingamizi alokuwa amewekewa

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee viva CHADEMA
  7. L

    Mnyika na Daraja la mto unaotenganisha Kimara Suka na Golani

    Big up Mnyima, tunakuaminia kwa kazi nzuri, niliona kazi yako daraja la King'ongo lilivyojengwa faster. Mungu akupiganie ufanye kazi nzuri zaidi na zaidi.Peopleeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrr forever.:nod:
  8. L

    Wakazi wa jimbo la Kinondoni

    Jamani wana Kinondoni, next time chagueni watu kama kina Mnyika, hawa ccm sasa hivi wako kwa maslahi yao na sio kwa watu wa chini, Fungukeni jamani
  9. L

    Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi?

    Hawezi kuongea chochote, pressure inapanda pressure inashuka. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka Monduli mvunguni mwa kitanda alikoenda kujificha kwa aibu. SHAME SHAME SHAME kwa CCM na magamba wote
  10. L

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Peoplesssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, NOUMA
  11. L

    MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! jamani jamani inatia hasira, hawa wabunge wanamtishia nani? huyu Ana makinda aka makinda ya ndege anamtishia nani? wabunge wanaotaka kuacha waache, hawa magamba shenzi zao wasitubabaishe kwanza hawana faida hata kidogo kwa nchi yetu, inamaana watanzania wengine hili...
  12. L

    Leo Form Six wameanza Exams. Kulikoni Necta mbona hawajatangaza?

    Kila la heri kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita, tunatarajia mwaka huu mtafanya vizuri. Mungu awasaidie wadogo zetu.
  13. L

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Huyu mama tangu amechaguliwa viti maalumu hajawahi kuongea chochote, leo kutudhihirishia kama sio bubu ameona afungue domo lake kwa kutaka kuichongea JF, Hana jipya huyo
  14. L

    "Asante Regia"

    R.I.P Regia, mwenzetu umetangulia nasi tuko nyuma yako Raha ya milele umpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani-AMINA
  15. L

    Muhimbili hali ni ngumu!

    Hawa viongozi wetu wanajali nini, wanajali maslahi yao na mitumbo yao washenzi wakubwa hawa, inatia hasira sana kwa Hospitali kubwa ya Taifa kukosa vitu vya muhimu kama hivyo. Mimi nilikuwa na mgonjwa pale, eti hata maji hakuna mtu unatoka nyumbani na maji kwa ajili ya mgonjwa wako apate kuoga...
  16. L

    Tanzania tumepigwa bao na Wakenya, Kiswahili is not the official language of EAC!

    Ndugu zangu Watanzania, sawa tukienzi kiswahili ndio Lugha ya Taifa letu. Lakini je tunaangalia upande wa pili? kiswahili kinatupeleka wapi? Hoteli zinafunguliwa nyingi tu,je kama watanzania hawajui Kiingereza itakuwaje?
  17. L

    JK, iliwezekana, mbona sasa kimya?

    Mimi hii thread nimeipenda saaaaaaaaaaaaana. Watanzania wenzangu ukweli ni kwamba hawa CCM kwa kuchezea kodi zetu sio kitu cha ajabu kwao. Walichezea hela na kura zetu waliiba ndio maana mpaka leo matatizo yanatuandama. Ole wenu CCM laana ya Mungu itawafuata mpaka kwa vizazi vyenu.
  18. L

    Kikwete Kufungua sherehe za miaka 50yrs ya UHURU leo

    Vipi ****** amepunguza safari nini? au hajapata mwaliko? Anafungua sherehe za miaka 50 ya uhuru kwa lipi alilotufanyia, angejaribu kurekebisha mapungufu yaliyoko ndio azindue hizo sherehe. Washeherekee na magamba wenzake maana ndio hawana la kufanya hata kutatua kero za wananchi kunawashinda...
  19. L

    Mwandosya bado mgonjwa, kalazwa huko India; miezi miwili sasa

    Hawa viongozi wetu wanashangaza sana, hivi wao sio watu kama sisi wa chini? Mbona Mungu habagui huyu nani na huyu nani? Kupelekwa India au Marekani hakusaidii , waelewe ya kuwa siku ikifika imefika, mbona wengine wakienda kutibiwa huwa hawarudi hai? Huko ni kuchezea kodi zetu bora wangeboresha...
Back
Top Bottom