Kizimbani
Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena
Lazima pana mtu aliyekuwa anatembeza maneno ya urongo kuhusu Josefu K., kwani mwenyewe alijua hakufanya kosa lolote lakini, siku moja asubuhi, alikamatwa. Kila siku saa mbili asubuhi aliletewa kiamsha kinywa na...
Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi.
Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
1. Kisado -- Bidhaa ni rangi ya nyumba, ya kampuni ya Sadolin. Walikuwa wakiweka kwenye makopo ya ukubwa fulani yaliyopachikwa jina la "visadolini" au "visado".
2. Kimbweta - Kiti na meza cha zege, mara nyingi huwapo kwenye taasisi za elimu ya juu. Vilibuniwa na Prof. Mbwette. Wengine huviita...
Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza
Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza?
Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza...
Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi
Kwa wale wanaojiunga hivi punde na haya yanayojiri, ambao bado wanajiuliza kwani je vipi somo mbona trafiki kuongoza magari wakati taa za kuongozea magari zinafanya kazi? Hii hapa historia fupi.
Miaka ileeee palizuka kelele nyingi kwa nini...
NGAZI YA ELIMU
(1) UFUNDI STADI
(2) UFUNDI
(3) VYUO VIKUU
(4) UTAALAMU
(5) ELIMU HAINA MWISHO
10
Shahada ya Uzamivu
Shahada ya Uzamivu
<<===
9
Shahada ya Uzamili
Shahada ya Uzamili
Cheti cha Utaalam Ngazi ya 4 (Utaalamu Bingwa 2)
<<===
8
Shahada ya Kwanza
Shahada ya Kwanza...
Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi?
Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne?
Nielimisheni tafadhali.
Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester?
Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo kwa mwaka. Hakuna kusema huyu ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wala wa ngapi. Mwanafunzi akitimiza...
Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku.
Nukuu:
"One model of mask distributed to Quebec schools and daycares may be dangerous for the lungs as they could contain a potentially toxic material, according to a directive sent out by the provincial government on Friday...
Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...
Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja.
Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
Lanchi ya Mchana
EDIT:
Kichwa cha habari [Kwanini baadhi ya biashara zilizo karibu na maofisi hufungwa inapofika mida ya lunch?] sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo...
Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?
Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme.
n.k.
Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?
Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.