Search results

  1. Mlenge

    Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Zifuatazo ni baadhi ya rejea, zinazoelezea matokeo uliyoyataja. 1. Raising Cain -- Hii video ni ya kuangaliwa na kila mzazi mwenye mtoto wa kiume. Na Kila mwalimu anayefundisha mtoto wa kiume. 2. The War Against Boys: How Misguided Policies are Harming Our Young Men -- Hoja kama uzi huu...
  2. Mlenge

    Mbinu Binafsi dhidi ya Corona

    Some edits in the post #1 / Maboreshoboresho kwenye posti #1
  3. Mlenge

    Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Unadhani hali hiyo unayoisema ilifikiwa kwa usanifu au kwa ajali?
  4. Mlenge

    Kwa wanaotaka ushauri

    Hii fursa ilitolewa kama juhudi binafsi kuhudumia umma.
  5. Mlenge

    Nautafuta wimbo huu wa dini

    https://www.shazam.com
  6. Mlenge

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Je, ni mara ngapi neno UPENDO (LOVE) linatajwa katika Sheria ya Ndoa Tanzania?
  7. Mlenge

    Kwanini Waafrika tunajidharau?

    Asante sana. Inawezekana pia mwanzoni mwa miaka ya 80 kisa hicho kiliandikwa upya kwa mtindo wa simulizi, au ilichapishwa upya, na ndipo nilipoisoma. Faraj H. H. Katalambula alikuwa ni prolific writer, na alitoa vitabu na hadithi nyingi. By the time niko chekechea mpaka 1980 nilikuwa nasoma...
  8. Mlenge

    Kwanini Waafrika tunajidharau?

    Asanti. Nikumbushe ilipoandikwa hiyo stori ya Uno Maggy... Nakumbuka faintly, Unono alikuwa Meneja or something kwenye shirika la umma, na wazazi wake walipomtafuta kwa jina la Unono (mmojawao akipronounce 'Wunono'), walipata taabu kumpata kwa vile sasa alijitambulisha kama 'Uno Maggy', na...
  9. Mlenge

    Kwanini Waafrika tunajidharau?

    Kiwanda cha sindano za kushonea space suit na Kaunda Suit tukishakuwa nacho, itakuwa ni hatua kubwa kuelekea huko.
  10. Mlenge

    Kwanini Waafrika tunajidharau?

    Wewe utakuwa ni muhenga... hicho kisa kilikuwa kwenye kitabu gani? Umenikumbusha mbali sana.
  11. Mlenge

    Kwanini Waafrika tunajidharau?

    Radio Butiama ukuye huku. Sikiliza:
  12. Mlenge

    Kwanini dunia inamchukulia Adolf Hitler kama kiongozi katili katika historia ya Dunia?

    Anayeshinda vita ndiye huandika historia. His+Story=History.
  13. Mlenge

    Kiongozi aliewahamasisha Yanga kusimamia kanuni ana nafasi yake peponi

    Modeli ya uendeshaji Yanga, ni bora. Na inaweza kuboreshwa kwa kuiandikisha Yanga Soko La Hisa Dar es Salaam (Dar es Salaam Stock Exchange, DSE)
  14. Mlenge

    Tuache mazoea ya kuvumilia kila kitu kwenye ndoa

    Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanaume wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia vijana zenu...
  15. Mlenge

    Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Wizi ni... dhambi. Kuua ni ... Ipi kubwa kuliko yenzie?
  16. Mlenge

    Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Innocent Until Proven Guilty by Court of Law... Kwa nini hawakumkamata na kumpeleka mahakamani?
  17. Mlenge

    Utajiri ni nini?

    Poleni. Aliishi vizuri na watu. Na watu huwa si wajinga, hata ikiwa ni matajiri au wana umaskini wa kipato, huweza kujua mtu anayewathamini utu wao. Waliweza kufanya hayo yote si kwamba wanarudisha fadhila, bali ni sehemu ya kusema asante, na kumuaga mpendwa wao. Juzi tu nimetoka kusikia kisa...
Back
Top Bottom