Search results

  1. Jane Msowoya

    Tahadhari ili kuepuka gharama uji wa ulezi huchanganywa na unga wa mchele

    doh acha kuharibu biashara za watu..uji mzuri kabisa au unataka tuanze kushusha nondo za mchelw vs ulezi?
  2. Jane Msowoya

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    huvai huna ndugu/jamaa huumwi 80k unakula nini?
  3. Jane Msowoya

    Paypal Tanzania

    paypal bongo unapokea refund tu
  4. Jane Msowoya

    Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

    bro sio wote tuwe matajiri nani atakuwa masikini? ukitaka kugombana nao waambie ukweli
  5. Jane Msowoya

    Singularity microfinance

    bro dawa ya deni kulipa pambana lipa hela ya watu
  6. Jane Msowoya

    Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    leo naona kanifikia mimi bidhaa flan flan hivi tag zikawa nyingi kwangu mara paaap nimelimwa tofali[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  7. Jane Msowoya

    Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

    hongera kwa mapambano kuna mambo kadhaa nimeyaona ambayo ukifanikiwa kuacha itakusaidia 1. acha ku trade 2. ogopa pesa hasa za watu 3. weka malengo na namna yakuyafikia 4. jikumbushe hakuna shortcut inayo last long
  8. Jane Msowoya

    Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

    are you serious ? maana naona yanataka kunitia ukichaa
  9. Jane Msowoya

    Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

    hahaha Security the goal is to run a business Wewe mwenye mtaji wa 1b na mimi mwenye mtaji wa 100k tunamtegemea mteja mmoja so wote ni ma CEO
  10. Jane Msowoya

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  11. Jane Msowoya

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    asante sana mkuu watu wakikaa nyuma ya keyboards basi wanajiona wanajua kila kitu waswahili husema raha ya ngoma uingie ucheze wanadhani ni rahisi hivyo hawajiulizi ndo maana wengi wanapigwa kupewa ofa nzuri ili akuvute uweke hela then the rest is Mr Kuku
  12. Jane Msowoya

    CANVAS Business Model

    hahahahahha ikaishia njiani
  13. Jane Msowoya

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Asante sana karibu ndugu yangu cant wait to serve you.....
  14. Jane Msowoya

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    ubinafsi ni mbaya sana sana lakin kizazi baada ya sisi watakuwa vzr
Back
Top Bottom