Search results

  1. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    wewe ni magamba, post zako zote zinakuonesha hivyo siwezi kuungana na watu wenye mtazamo wa magamba CDM bado imara sana, ina watu wengi sana wanaofaa Dr Slaa na Mbowe bado ni makamanda wa nguvu, Mnyika ndo mwanzo anawachachafya. Kwa upande mwingine,kuna kundi kubwa sana la vijana wanaokuja...
  2. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    hiri rimura naro sijui rimetoka wapi Zitto hana sifa za kugombea uraisi kwa mujibu wa katiba ya sasa, kama magamba (wewe ni mmoja wao) mnampenda, basi mumpitishe huko ndani ya chama cha magamba na majambazi (ccm) m
  3. Nani Kasema

    Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    Kwa hiyo wewe na vijana magamba wenzako mmekwishajua tayari katiba mpya itakuwa na nini (kama kweli itakuwepo)?
  4. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    Zomba wa JF (systems at work) atawasaidia sana kwenye communication na propaganda
  5. Nani Kasema

    Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    Zitto atakuwa hajafikisha miaka 40 inayotakiwa kikatiba mwaka 2015 CDM wanafuata sheria iliyopo na hawatamsimamisha Zitto mwaka 2015 (unless katiba imebadilishwa). SO Kwa vile mafisadi wa magamba mmezoea wizi na kutojali sheria na katiba ya nchi, basi, mpitisheni zitto agombee kwenye chama...
  6. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    Kuna wengine wanasema kuwa Zitto na Shibuda ni popular kuliko CDM, Kama kweli Zitto na Shibuda wanaamini hizi pumba za magamba, basi, waanzishe chama na wakiite CCMYC - chama cha mapinduzi ya chadema halafu wagombee pamoja mwaka 2015 - Zitto rais, Shibuda awe mgombea mwenza Kisha, kama...
  7. Nani Kasema

    Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    Na kama Magamba mnampenda Zitto kihivyo, Msimamisheni kupitia CCM au mshaurini aanzishe chama ili mumfuate huko
  8. Nani Kasema

    Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    Magamba yana tabia ya kujiona kuwa yanaelewa kuliko wengine wote Tanzania Huu ni mfano tu
  9. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    Kwa sasa nakutizameni nyie wawili hapo chini Zomba na mwenzako Kimbunga
  10. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    By 2015, Zitto atakuwa ana miaka 39, pungufu ya kile kinachotakiwa kugombea uraisi kwa katiba ya sasa. Hili, bado halijaacha wanafiki na magamba ya CCM hapa JF, kuendeleza pumba zao za kutaka CHADEMA wamsimamishe Zitto mwaka 2015. Ushauri wangu kwao ni huu, Kama mnampenda Zitto kihivyo...
  11. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    Nakwambia hype iliyoko kwenye media za bongo (hasa clouds) utadhani mwisho wa dunia umefika. Watu wengi hawajamuelewa vizuri president wa bongo yetu hii
  12. Nani Kasema

    Hivi CCM na mwenyekiti wao taifa wametoa tamko lolote kuhusu mauaji ya kutisha ya m/kiti CHADEMA?

    kodi ya mapato (income) na ongezeko la thamani (VAT)
  13. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    haya basi, sasa inabidi asubiriwe mama wa UN? kazi kweli kweli
  14. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    And that is the point Manumbu, Watu wanategemea makubwa sana toka kwa president wetu as if wamekuwa wanaishi shimoni miaka saba iliyopita. Nimecheka sana kusoma msitari wako wa mwisho ... cant wait for that to happen
  15. Nani Kasema

    Hivi CCM na mwenyekiti wao taifa wametoa tamko lolote kuhusu mauaji ya kutisha ya m/kiti CHADEMA?

    Sijaliona hili kwenye news. Pasco wa JF yuko wapi when u needed him? Pasco uko wapi ushike bango kama ulilomshikia Dr. Slaa last time? Vipi umepanda kwenye kaburi (na jeneza) ukitafuta wana ccm kwenye mazishi? Just wondering
  16. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    kuna wengine hadi wameanza kujadili kama fulani yumo kwenye baraza au hivi kweli mmekuwa mnafuatilia president wetu vizuri kwenye maamuzi yake .. toka enzi za buzwagi, epa, richmond, na kadhalika wengine hadi wanasherehekea ushindi wa ccm dhidi ya chadema katika hili ... just watch this...
  17. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    Think about it, This president? Kweli? Ufisadi na this president ni kama pete na kidole Hebu fikiria. ninasuburi a huge surprise toka kwa Kikwete.
  18. Nani Kasema

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Magamba bana kwa pumba hamjambo, Hapa unachanganya vitu viwili, kuteuliwa - ambayo inategemea nia na madhumuni ya mteuzi kugombea - ambayo ni beyond nia na madhumuni ya mteuzi(if you can call it that way). Wagombea wa chadema walijitokeza wenyewe, Mtei had nothing to do with it, Wajumbe wa...
  19. Nani Kasema

    Sababu za ki'intellegensia zikoje Mazishi ya Kanumba?

    kama kweli polisi huwa wanazuia maandamano au mikusanyiko ya wana chadema kwa sababu ya al shabab? ilikuwaje wakaruhusu mazishi ya kanumba, na mechi za uwanja wa taifa, na matamasha ya miziki, na arusi, na ngoma na .....?........ nimechoka. Ngoja nikapate kisusio kidogo kisha nirudi
  20. Nani Kasema

    Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

    arifu wewe una akili sana kaa mpemba
Back
Top Bottom