Search results

  1. T

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Namuamini rais wangu kwa utendaji wa kazi hilo sina wasiwasio nalo atarisgughulika ipasavyo,na wahusika watachukuliwa hatua once itakapodhibitika.na nyie mnaosema Rais ni muoga mnakosea,rais ana majukumu mengi ndo mana akateua wasaidizi wakumsaidia serikali yake,sasa unasema rais...
  2. T

    CCM haihusiki mauaji ya Tarime - Tambwe (Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda cha CCM)

    CDM hawana pakushika wanatapatapa km samaki nchi kavu,mheshimiwa Tambwe CDM wamekosa kazi za kufanya,kila kukicha wanaisakama CCM yetu sasa nasema,wala wasikuumize kichwa Mh.Tambwe hawa CDM ni sawa na kelele za chura haziwezi kumzuia Tembo kunywa maji.!CCM ndio chama cha ukweli ....CDM nyie ni...
  3. T

    Twitter accout ya Kikwete

    Unashangaa jk kuwa kwenye twitter...jaman nyie watu wa wapi,mbona obama yupo kwenye twitter hamumshangai...hii siyo dunia ya mwaka 47 jaman,hii ni dunia ya sayansi na teknolojia,kueeni kiakili....nakupongeza sana mheshimiwa rais kwa kuwa kwenye social networks.
Back
Top Bottom