Search results

  1. utukufu mwanjisi

    Je? kuna uwezekano waajiriwa wa serikalini kuishitaki serikali kwa kuingia mkataba wenye kuhatarisha ajira zao

    Habari ndugu zanguni. Nahitaji kuelimishwa hili, kama kuna uwezekano kuishitaki serikali endapo itaingia mkataba wowote ambao utahatarisha ajira za waajiriwa wao. Nauliza tu ili niweze kutanua uelewa wa baadhi ya mambo.
  2. utukufu mwanjisi

    Wabunge badilisheni mbinu za kuomba kura uchaguzi ujao

    Nashangaa tena nashangaa sana wanasiasa wenzangu ambao mpaka sasa ni wabunge wa majimbo mbalimbali bado wanafanya siasa za miaka ya 90's huko wakati tupo kwenye ulimwengu wa wapiga kura waelewa na wasomi wengi tofauti na kipindi cha nyuma. Mwanasiasa kijana tena wa kileo bado anaanzisha...
  3. utukufu mwanjisi

    Waziri wa Ardhi na watu wako isaidieni Kwala dry port na vijiji vyake

    Majuzi nilibahatika kutembelea Kwala kule ilipotengenezwa bandari kavu na kukuta baadhi ya shughuli ndogo ndogo zikiendelea. Sasa kwa sababu nimekuwa ni mtu wa kupenda kujua vitu na kufanya research ndogo ndogo, nikagundua kitu kidogo ambacho kinatakiwa kufanyiwa kazi mapema ni sekta ya ardhi...
  4. utukufu mwanjisi

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    Kiufupi, nimesafiri kwa mara ya kwanza safari ya mabasi ya usiku yaondokayo saa 2 usiku Dar es salaam na kuelekea Rombo. Kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kufika muda wa saa 11 asubuhi hapa Mamsera hivyo nimepata kushuhudia mengi sana. Vijana wamejaa kwenye kibanda muda huu wanaagiza tu...
  5. utukufu mwanjisi

    Ushauri, mwaka 2025 na 2026 wanaume tulio kwenye ndoa tujaribu kutulia

    Wanaume tulioa tuitane tukae kikao 2025 na 2026 tutulie kwenye ndoa zetu, tuangalie wale mabinti wanaoenda kwenye mahotel kupiga picha vitandani au kwenye vioo sijui wanaita kuflex. Kama wataendelea au watangoja turudi tena 2027 kuhudumia. Nawasilisha
  6. utukufu mwanjisi

    Hawa wazee wanaondoka hivi, 2030 patachimbika

    Hili ndio wengi ambao ni wafuatiliaji wakubwa wa siasa tunaliona. Kumbuka generation za viongozi ambao wapo madarakani wenye kutaka kile kiti ndio walisumbua sana 2015 kwa ajili ya mkakati wa 2025 maana mahesabu yao hayakuwa ile 2015 sema walikuwa wanajijenga na kujiwekea foundation sema kwa...
  7. utukufu mwanjisi

    Asilimia 60% ya Wabunge hawatarudi 2025

    Unauliza kwanini? Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa wengi ndio walikuwa wanakubalika na wajumbe sasa wanarudi na mbinu zile zile kuchukua majimbo yao...
  8. utukufu mwanjisi

    Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

    Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior. Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili...
  9. utukufu mwanjisi

    Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la DP World

    Ushauri tu. Wengine kwa upande wetu tunaona bora zitoke timu kutoka kila upande unaopinga kwa hoja na unaokubali kwa hoja uwekezaji wa Dp world, hizo timu zizunguke nchi nzima kutoa hoja zao. Baada ya kutoa hoja zipigwe kura kujua wanaokubali huo uwekezaji na wanaokataa huo uwekezaji baada ya...
  10. utukufu mwanjisi

    Nahitaji kuweka neno kwenye suala la bandari lakini inabidi niyajue haya kwanza

    Suala la bandari ni suala la kitaifa, ni suala ambalo tunaongelea masuala ya maisha ya wananchi inamaana tunaongelea roho ya nchi, kwahiyo ukichezea hapo umechezea roho ya nchi. Turudi kwenye mada maada sisi wengine tunapenda kuongelea suala baada ya kujua undani wake kwa kina sana ndio maana...
  11. utukufu mwanjisi

    Utaratibu unaotakiwa kufuatwa kupata hatimiliki

    Je hatimiliki ni nini? Hatimiliki ni cheti maalumu kinachotolewa kwa mujibu wa sheria ya ardhi namba nne ya 1999 kwa mmiliki wa ardhi kulingana na matumizi yake. Kuna aina mbili za hatimiliki yaani kuna hatimiliki yenyewe(ambayo hii hutolewa kwenye ardhi ya mijini na mara nyingi kwa maeneo...
  12. utukufu mwanjisi

    Katiba ya nchi na Katiba ya CCM hazimzuii Naibu Spika kugombea Uspika

    Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM hazimzuii Naibu Spika Kugombea Uspika Ibara ya 85(2) inawakataza Mawaziri na Naibu Waziri Kuwa wagombea wa Uspika. Ibara hiyohiyo inawakataza viongozi wengine wenye madaraka Chini ya Sheria itakayotungwa na Bunge. Mpaka leo hii hakuna hiyo Sheria iliyotungwa na...
  13. utukufu mwanjisi

    Ushauri: Wapinzani mngeendelea na shughuli nyingine ya CCM muwaachie wana-CCM

    Habarini hapa jukwaani Katika mnyukano ambao unaendelea katika mitandao ya kijamii kati ya watu ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa katika Chama Changu cha Mapinduzi, ambapo ni ndugu Humphrey Polepole na Ndugu Nape Nnauye. Ni kili kwamba hakuna jambo ambalo linatokea kwa bahati mbaya katika...
  14. utukufu mwanjisi

    Fredrick Lowassa achangia Tsh Milioni 11 kwenye miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Monduli(CCM), Fredrick Lowassa amechangia jumla ya Sh11 milioni kwenye miradi ya maendeleo jimboni humo. Miradi hiyo ni pamoja na ya ujenzi wa nyumba ya daktari wilayani Monduli,ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa kwa wapiga kura wake. Taarifa ya mchanganuo wa utoaji wa fedha...
  15. utukufu mwanjisi

    Hotuba za Rais Samia zawagusa wanasiasa na wafanyabiashara

    Wakati hotuba za Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alizozitoa nchini Kenya zimeibua mjadala mitandaoni ikielezwa zimeleta matumaini na kujawa hekima, busara na haiba, leo anatarajiwa kuzungumza na Baraza la Wazee wa mkoa wa Dar es salaam. Viongozi na wafanyabiashara mbalimbali nchini...
  16. utukufu mwanjisi

    MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

    Habari ndugu zanguni, Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya. Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya...
  17. utukufu mwanjisi

    Mtaalamu anayejua software za Photoshop na Illustrator anahitajika

    Habari, Ndugu zangu waswahili wanasema ridhiki ni kugawana,sasa anahitajika mtu anayejua hizo software kwa ajiri ya kumfundisha mtu mwingine, kwa hiyo kwa mtu yeyote anayejua au unamfahamu anajua na ana uwezo wa kumfundisha mtu taarifa zimfikie. Location ya eneo la mtu anahitaji kufundishwa ni...
  18. utukufu mwanjisi

    Uchaguzi 2020 Goodluck Abinala Mwangomango achukua fomu ya ubunge Rungwe kupitia CCM

    Hatimaye siku tuliyoisubiri wana Rungwe kwa muda mrefu imefika ndugu Comrade Goodluck Mwangomango kuchukua fomu ili awatumikie wana Rungwe 2020-2025. ANATOSHA JIMBO LA RUNGWE
  19. utukufu mwanjisi

    Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

    1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya ELIMU 1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM 2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM 3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST UZOEFU WA KAZI NA UONGOZI 1. Katibu - Kitivo cha Sheria - UDSM - DARUSO 2009-2010. 2. Spika Bunge la Wanafunzi - UDSM -...
Back
Top Bottom