Search results

  1. utukufu mwanjisi

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
  2. utukufu mwanjisi

    Hizi ndio jezi za singida black stars

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. utukufu mwanjisi

    Je? kuna uwezekano waajiriwa wa serikalini kuishitaki serikali kwa kuingia mkataba wenye kuhatarisha ajira zao

    Habari ndugu zanguni. Nahitaji kuelimishwa hili, kama kuna uwezekano kuishitaki serikali endapo itaingia mkataba wowote ambao utahatarisha ajira za waajiriwa wao. Nauliza tu ili niweze kutanua uelewa wa baadhi ya mambo.
  4. utukufu mwanjisi

    Wabunge badilisheni mbinu za kuomba kura uchaguzi ujao

    Nashangaa tena nashangaa sana wanasiasa wenzangu ambao mpaka sasa ni wabunge wa majimbo mbalimbali bado wanafanya siasa za miaka ya 90's huko wakati tupo kwenye ulimwengu wa wapiga kura waelewa na wasomi wengi tofauti na kipindi cha nyuma. Mwanasiasa kijana tena wa kileo bado anaanzisha...
  5. utukufu mwanjisi

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    Wengine tena tofauti na wale nipo nao hapa wanapiga vikali
  6. utukufu mwanjisi

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. utukufu mwanjisi

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    Kwamba ndio maana wanaenda kenya maana kaka zao nguvu hawana tena
  8. utukufu mwanjisi

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    Unajua hapa nimeongelea jamii zetu za vijijini ndio wanaweza kutuumiza lakin hao wa Dar watajijua wenyewe na waliowatuma mjini
Back
Top Bottom