Search results

  1. R

    Waziri Kitila Mkumbo: Mgomo wa madereva wa kiwanda cha Dangote umeisha, uongozi umekubali kuwalipa stahiki zao

    Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
  2. R

    TCRA: Mabando kama awali

    Kama ambavyo maelekezo ya Serikali yametolewa tunafuatilia kwa karibu sana suala la mabando au vifurushi ili virudi kama ilivyokuwa awali...Dr. Jabir Bakari Kuwe, Mkurugenzi Mkuu TCRA akiwa Makao Makuu ya TCRA Dar es salaam leo Tuna-monitor na tunategemea muda si mrefu vitakamilika na vitarudi...
Back
Top Bottom