Search results

  1. munyambo p

    Kutembelea Rwanda

    Habari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda. Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
  2. munyambo p

    Hodi hodi

    Wakuu mm ni mgeni humu ndani na naishi nchini Rwanda na nimependa jamii forum maana kuna mambo mengi yanayohusiana na maisha ya kila siku ya binadamu. Mm munyambo naomba mnipokee kwa mikono miwili na nawakaribisha huku kwetu maana sisi wote ni ndugu. Asante!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom