Search results

  1. munyambo p

    All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Wazo zuri sana.mwana familia wa JF ambae yupo Rwanda tuwasiliane na sisi tukutane
  2. munyambo p

    Mgao wa Umeme uko Tanzania pekee kwa ukanda huu wa EA

    Huku Rwanda hakuna mambo hayo,umeme ukikatika hauchukui dakika mbili bila kurudi.Ccm oyeeee bado na mtasema!!!!!
  3. munyambo p

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta DASTAN FUSSY ni askari police mara yamwisho tulionana kisarawe 2016
  4. munyambo p

    Hivi ni kweli ukikopa benki ukashindwa kurudisha pesa zao hakuna Benki Tanzania itakayokukopesha tena?

    Kuna kitu kinaitwa CRB(Credit reference bureau)hapo ukichelewa kulipa mkopo wako wanakueka hapo hata kama ukimaliza kulipa utakua bado upo CRB kwa hio utatakiwa kuomba bank yako kukutoa kwenye CRB,Na kipindi chote ukiwa CRB Huwezi kupoke mkopo wowote kutoka kwenye taasisi yoyote. Huku kwetu...
  5. munyambo p

    Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

    Please angalia na hapa au ni show off
  6. munyambo p

    Unasikiliza wimbo gani muda huu?

    Mang'kadiwe
  7. munyambo p

    Hatimaye nimefika Tanzania. Haya ndio niliyojionea mpaka dakika hii

    Kama mnabisha kwamba huyo sio mkenya ni mtanzania mwenzenu mm nitakua wawapi jamani maana kiswahili mataifa mengi wanazungumza tena vizuri tu,ila Tanzania hata mm napapenda sana hasa maeneo ya buza
  8. munyambo p

    Dawa ya meno colgate

    Colgate ukianza kuitumia kwa mara ya kwanza inakuaga hvo inakua inakutibu kwahio usihofu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. munyambo p

    Msaada jinsi ya kufanya biashara kati ya Tanzania na Uganda

    Mimi nipo uganda uliza chochote unachotaka nikujibu hapa hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. munyambo p

    Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

    Mambo ya salun sio rahisi wafanyakazi ni wajanja janja kwa hio salun inahitaji uwangalizi wa hali ya juu by th way salun ni biashala ambayo haiumizi kichwa sana ukipata wafanyakazi makini na location nzuri. Mm namiliki salun tano mjini hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. munyambo p

    Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Hata ukijiajiri unaenda kazini kwako,kwa mfano mimi nimejiajiri na nafanya mambo yangu naenda kazini kwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. munyambo p

    Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Mimi mwenyewe niko hivyo naweza kushinda nyumbani bila tatizo na nikipata mgeni naona kama ananikela naomba aondoke haraka nibaki peke yangu na nikiwa kazini napenda kua peke yangu sipendi kupiga story. Kwa kifupi maisha hayo nayafurahia sijari mambo ya watu wengine najali mambo yangu tu na...
  13. munyambo p

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Pande za kampala na sisi tunaanza hivi.happy new year Sent using Jamii Forums mobile app
  14. munyambo p

    Je uganda ataisafishia stars njia katika group L?

    Tayari uganda kafunga moja
  15. munyambo p

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mimi Nipo huku Uganda natumia dish la azam napata chanel 200 na za local nazipata lakin wameandika paid na hazionyeshi,naona za;malawi za zambia na injili peke yake
  16. munyambo p

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Mzee upo Rwanda
Back
Top Bottom