Search results

  1. R

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Kama utakua tayari kuniuzia mahindi na majani yake yakifikisha miezi 3niko tayari kununua wa heka Mimi nayavuna na kusaga kwa ajili ya Chakula cha ngombe huna haja ya kusubiri miezi 6mpaka yakauke Mimi nahitaji yakiwa mabichi kwa ajili ya silage
  2. R

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Ndugu yangu naomba nisaidie hapo maana hata mimi nimepata Sana shida na Ngombe Hawa wa kununua nane nane woote niliambiwa watatoa Lita 20 kwa siku hvyo lita 10 asubuhi na Jioni Kuna kitu tunakosea haswaa kwenye feeding hatujaweza kutumia majani sahihi ya kulisha ngombe mpaka nilipo anza kutumia...
  3. R

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu kama wewe ni mfugaji wa ngombe jiunge na group hilo la whtsap Ziara Dairy Farm TZ Forum
  4. R

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Huyo ngombe itakua hana calcium mbna ume mzembea hvyo yaani miezi miwili yoote?? Tafuta doctor anamuwekea drip ya calcium
  5. R

    ZIARA DAIRY FARM whtsap forum

    Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa Ziara Dairy Farm TZ Forum
Back
Top Bottom