Search results

  1. roselina john

    Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

    Bashiru Mnyarwanda alohamia ibwera akiwa na Mama anord
  2. roselina john

    Je, wewe umewahi bahatika kukutana na kiongozi yeyote wa Taifa hili na umepata kuongea naye kuhusu nini na mtazamo wake uliuonaje?

    Mimi nimekutana na Sumaye analalamika Pembeni Ila kwenye vikao VYA CCM anakaa kimya. Pia yule alokufa kwenye helcopter Deo Filikunjombe. January Makamba ni moja ya hazina ya vijana wa kuja kuongoza Taifa hili hapo Mbele. Nimefanya naye kwenye program ya Wakimbizi Kigoma, pia tumekutana USA...
  3. roselina john

    Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

    Napenda sana pesa sina haja ya kuficha, Mwanaume akinipenda ajipange Silali njaa. Sipandi daladala Ni Uber au bajaji Maharage nakula mara tatu tu kwa week Natumia iPhone tu kuanzia 8+ Vocha naunga mwezi kifurushi Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket Ndo maana najitahidi...
  4. roselina john

    Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

    Kama nilivyoeleza awali kupitia Uzi ambao niliuweka week hii Nimeamua kuwaambia ukoo wangu, Kuanzia Mama sina Baba R.I.P Mashangazi, Baba Mdogo na wajomba nia yangu ya dhati kuiomba msamaha familia ya ambaye alikuwa mchumba wangu, Naenda kuomba msamaha nikitegemea maswali magumu, Naenda...
  5. roselina john

    Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

    Changamoto ilijitokeza gafla na ubaya zaid ikawa sina uungwaji mkono na familia yangu
Back
Top Bottom