Search results

  1. L

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Wewe na Huyo Bana wako tambueni kwamba:- Wajibu wa Serikali ni kuona mashinikizo yoote kabla hayajawafikia raia na kutafuta njia za kuyaondoa kabla hata hayajakaribia. Inapotokea Mashinikizo yakawafikia raia hakika raia hao wataishinikiza serikali kufanya wayatakayo ili yaondoke kwenye mazingira...
  2. L

    Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

    Kuna wabunge kadhaa wa ccm walijigamba kuwa wao ni wapambanaji wa ufisadi! walienda mbali zaidi kwa kudai chadema waliiba hoja yao ya kupambana na ufisadi!! Jamani niambieni mbona hawajasaini kwenye kile kidaftari cha mpiganaji Zitto? Wewe unasema nini kuhusiana na hao wanaojiita wapambanaji?
  3. L

    Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

    CHADEMA ni chama hatari kwa ccm. "by nyerere 1993" Wakti huo chadema kililionekana kuwa kundi la watu wasiojua walifanyalo!!
  4. L

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Baada ya mahakama kutoa hukumu, Lema ametoa maoni akishutumu ikulu kushinikiza Mrema avuliwe Ubunge. Masaa machache sana baadaye ikulu ikatoa tamko/taarifa kwa vyombo vya habari. Kuna matukio mengi sana yaliyoliweka taifa katika hali tete na hayakuwa kujibiwa ndani ya muda mfupi kiasi hicho...
  5. L

    Hii ndiyo hali ya mfumo wa afya Tanzania - Jionee tulivyo katika hali ngumu

    Mzee mwanakijiji!! Kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa ni jambo tofauti na kusoma figure za ushindi zilizopikwa. hoa hawana sifa za kujisema wamechaguliwa na wananchi. Just ask this simple question: Mbali na kuchakachua JK kapata 61% kati ya 31% ya wapiga kura wote waliojitokeza. maana yake...
  6. L

    Huu ni uchuro

    Unapojikinga mvua kwa kutumia jaketi la kuzuia baridi!
  7. L

    Huu ni uchuro

    Unapogombea cheo cha baba yako aliyefariki Dunia!
  8. L

    CCM YAZIDI KUPOTEA dhidi ya CHADEMA TANZANIA

    ccm kwa sasa inafanana na ile story ya mfalme aliyetembea uchi!!
  9. L

    Hizi ndiyo Mbinu za wizi wa kura hususani barani Afrika

    wOW!! this is interesting!! yaani hayo yote ni kuvizia hizo kazi zisizohitaji kutumia akili Loh!! By the way kwa nini Sioi kakubali kurithi kiti cha baba yake? Je, huo ni ubani anaopewa na ccm baada ya mdingi wake kufanyiziwa au kusaidia kwenye zile dili za richmond na EPA?
  10. L

    Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

    ahitaji ulinzi kwani yeye fisadi?
  11. L

    Huu ndiyo ukweli, hata wa-tz mkiukataa bado utabaki kuwa ukweli!!

    Ifuatayo ni hadithi ya kweli nilisimuliwa na Baba Yangu mwaka 1987. Nimeona nichangie nanyi. Ipo Hivi:- Mnano mwaka 1987 jioni nimetoka shule ya msingi mimi na baba tulikuwa tunasikiliza taarifa ya habari RTD baadaye ikasomwa habari kwamba Rais Mwinyi alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa...
  12. L

    ..nimekumbuka mbali sana..

    7. Jogoo aliyesema 8. Mandawa na manenge
  13. L

    Uzinduzi wa chadema katika picha

    mbona ninaona vijana tu, na hakuna wazee?! au wazee walishindwa kupande maroli? safari hii nani katoa maroli? je, ni dewji? OH!! SAMAHANI nilijua hao ni ccm, maana nilizoea miaka ile tukiwa shule tulilazimishwa kwenda kwenye mikutano yao na tunapoingia uwanjani [mfano uwanja wa Aman] jamaa...
  14. L

    Polisi JWTZ na Arumeru kulikoni

    kuna watu wamevishwa uniform na kadi feki za chadema watafanya fuja kwenye mikutano ya ccm halafu TBC na Star TV watanyesha. Sifahamu chadema wamejiandaa vipi kilikwepa hili zengwe!!!
  15. L

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    Tamko mlilotoa linaviashiria vya U-LOOSER!! linafanana na yale majigambo wa watu waoga kwamba. umenipiga huku mtaani siku ukija kwetu utaniona!!
  16. L

    Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    NAGALIZO:- Unapokuwa na uraia/passport ya nchi nyingine pamoja na Tanzania ni kwamba unakuwa umekosa sifa za kuwa raia wa Tanzania [yaani automatically wewe si raia wa Tanzania] ndiyo sababu wanasiasa wanaendesha kampeni ya chinichini ili hicho kipengele kifuatwa ibaki kwamba unapopatikana na...
  17. L

    a womanizer husband!

    Hakutimuliwa ila mke wa jamaa aliamua kutoa rushwa na nonino ili apewe full story!
  18. L

    "..Ushupavu wa Uongozi.." na mgomo wa madaktari - Mheshimiwa Benjamin W. Mkapa

    Hotuba imesimama!! Huyu jamaa Ben Mkapa alikuwa zaidi ya kiongozi!!
  19. L

    Huu ni uchuro

    Kwani wengine wameandika uongo?
Back
Top Bottom