Search results

  1. P

    JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

    walipigwa na hackers kipindi cha uchaguzi
  2. P

    Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, kuzindua Huduma ya Matibabu ya bure kwa wazee

    Bibi atakuwa anaumwa macho. Ndo maana labda wameandika miwani bure kwa bibi zetu kama hawa.
  3. P

    Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

    Sasa we kuzuia jasho huoni tatizo tayari hapo
  4. P

    Sidhani kama CCM ni chama cha siasa

    Ila rahisi sana we sema tu CCM BILA JESHI HAIWEZEKANI. Jeshi laweza kuwa la polisi ama jwtz ama la kujenga taifa.
  5. P

    Natafuta share partner wa biashara ya mafuta ya alizeti

    Kwa njia ya kununua na kuuza kunapatikana faida sh 1000 kwa dumu moja?
  6. P

    Natafuta share partner wa biashara ya mafuta ya alizeti

    Na gharama (estimate) ya kuzalisha hizo dumu 500 ni kama kiasi gani kwa sasa?
  7. P

    Huyu ni mwanafunzi wa kijiji gani hapa jijini Makete?

    Mbona anafanana sana na mkuu Yericko Nyerere
  8. P

    TANZIA: Mbunge mpya wa CUF, Hindu Mwenda afariki dunia

    Taarifa kamili inakuja ! Amefia Muhimbili. ==================== Dar es Salaam. Civic United Front (CUF) member, Ms Hindu Mwenda, who was among eight members picked to fill posts of Special Seats Members of Parliament, has died. CUF Deputy secretary general, Ms Magdalena Sakaya confirmed that Ms...
  9. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Sharti la nne: Usigeuke kuwa changamoto kwake bali be part of the solution to her/his problems. Imagine, ofisini kazini kwako kunawaka moto. Bosi mzinguaji wafanyakazi wenzio wazinguaji yaani ni vurugu juu ya vurugu. Unapambana kwa kila hali kuweka hali sawa. Ok achana na hio. Tazama hii...
  10. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Note Bein: Other things remain constant (ceteris peribus). Mfano suala la usafi kwa wapendao, uaminifu, sex drive ama sexual satisfaction, na kuendelea
  11. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Sharti la tatu: Mchango wako katika kuziba weakness ya mwenzako. Hakuna mtu aliyekamilika. Watu wengi smart wanajua pahali wana mapungufu makubwa na madogo. Sasa alichofanya Mungu ni kumuumba mwanamme asiyekamilika na mwanamke asiyekamilika pia. Ni kama bolt na nut somehow yaani hamna mtu...
  12. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Sharti la pili: Dhamani yako. Sikia hii hapa. Unamfahamu Bacary sagna yule mchezaji wa zamani wa Arsenal. Unamjua demu wake? Bacary ni mweusi balaa yaani anatisha jamaa ni kama usiku ni zaidi ya lami kwa weusi. Ila ana demu kisu si mchezo. Mweupe peeee. Nadhani unafahamu ubaguzi wa wazungu kwa...
  13. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Tunaendelea na sharti la kwanza hapo juu: Kuna mtu humu hajawahi kusoma darasa la kwanza hadi la saba? Hakuna. Sasa sikia. Jikumbushe kipindi kile wale vipanga wa darasa lako walivyokuwa na mvuto kwa wenzao darasani wake kwa waume. Unadhani sababu ni nini? Ni kwa sababu wale vipanga wana...
  14. P

    Darasa la mahusiano na mapenzi ! Changia chochote unachoamini itasaidia kujenga mahusiano mazuri !

    Naona thredi nyingi sana wadau wake kwa waume wakilalamika kuhusu mahusiano. Sasa twendeni taratibu tupeane uzoefu wa haya mambo ya mahusiano. Mimi ninaanza kama hv: Kwa wanawake na wanaume: Sharti la kwanza: Fahamu dreams za mpenzi wako kinagaubaga. Dreams zake ndo maisha yake. Ndio...
  15. P

    Utumishi wa umma mtaacha lini kudhalilisha watoto wa masikini?

    Acha hali halisi ionekane. Natamani wawe wanawaita wote walioomba bila hata ya kuwa short list. We hujaona hadi akina Kingwagwala (serikali) wanaanza kuhamaki !? Next time msiwa short list waitwe wote. Nina wasiwasi kuwa magu anaweza kushauriwa awapige mkwara hao tume ya ajira wasiwaite watu...
Back
Top Bottom