Search results

  1. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Nimejaribu kugoogle naambiwa 'piston slap' ama 'spack knock at idle'
  2. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Yawezekana. Kamlio kama vile kuna kitu kinagonga gonga kwa kuenda sambamba na mzunguko wa engine. Ni wakati wa silencer tu (ikiwa kwenye P) nyakati za jioni ama usiku.
  3. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Mkuu najaribu kuattach file ila inagoma. Kwenye % za kuupload inaishia 0 tu. Nifanyeje?
  4. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Wataalaamu wa magari, Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine. Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo...
  5. D

    Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

    Nani kakwambia tatizo ni tope au mchanga?!! Kuna Vits/raum/ist zina 4w.
  6. D

    Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

    Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars). Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa! Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
  7. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Kuna mdau hapo juu kashauri kuwa nikiweka soft springs na shock up brand ya KYB, itakuwa poa. Nadhani 'suspension system' inajumuisha vitu vingi sana ambavyo ni vital kwenye car stability, sio vya kuchezea chezea kwa fundi asiye mbobezi.
  8. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Nimejaribu kugoogle hiyo 'air suspension'. Gharama yake nadhani waeza nunua toyota ist zaidi ya 3 😂😂
  9. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Soft springs. Zinagharimu kiasi gani? Haziathiri stability ya gari? Pia nishasikia sana kuhusu hizo KYB Shock up, wanasema ni shock up imara lakini ni stiffer!! Not softer. Hili lipoje? Na zinagharimu kiasi gani hizo shock up? Na je vipi kuhusu shock ups brand ya 'Bilstein'?
  10. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Ahsante kwa hiyo technical knowledge mkuu. Kuna mdau hapo juu katoa tumaini kuhusu ukavu wa hizi Japan baby walkers. Amerecommend kufunga 'Air Suspension'.
  11. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    AIR SUSPENSION. Hiyo inacost kiasi gani mkuu? Ina mneso? Je haiathiri stability iliyopo?
  12. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Bado beby walker za Mjapani ni affordable kwa wengi wanaomiliki. Shida ni hiyo tu... suspension system yake sijuwi ipoje tu, ni vikavu mno unapodrive kwenye rough roads.
  13. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    gari za Mjerumani mie hapana kwakweli. Wengi wanalalamika hayo magari ni mziki mnene kuyamantain.
  14. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Umenivunja mbavu mkuu. Gari inadunda kama kitenesi!! Hahaha Sasa mkuu, je kuna namna yoyote mechanically ya ku-upgrade suspension system ya hizi beby walkers za mjapan zikawa na mneso? Au labda kuna shock ups ambazo ni more luxury and softer ambazo naweza nunua na kureplace?
  15. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Hakuna namna yoyote (mechanically) ya ku-upgrade na kuweka mneso mzuri kwenye hizi gari ndogo kavu?
Back
Top Bottom