Search results

  1. R

    Msimu wa kilimo

    Habari za mapumziko ya Pasaka Wana JF, Kwa wale wenye twakwimu embe tuwekeeni hapa ili tuweze kujua vipindi vya kilimo kila mkoa na aina ya mazao yafaayo kwa kilimo ili tuzione fursa na kuzikamata
  2. R

    Ikishindikana leo

    January Wawakilishi wa wananchi watakutana tena Jan 2015 na hapa tunajua wazi Serikali inatakiwa kuja na taarifa ya utekelezaji wa Maazimio ya Bunge silaha pekee ni kura ya kutokuwa na imani na serikali yani waziri mkuu by the way mwanasheria katangulia sawali litakuja kwanini Rais ameridhia...
  3. R

    Expert na sheria za Tanzania

    Habari nyote, Nimejaribu kutafuta sheria inasema nini kuhusu wafanyakazi wa kigeni wanao kuja nchini na kushika ajira ambazo ni haki ya vijana wa kitanzania,wana JF sheria inasema nini? Naomba michango yenu. Asanteni
  4. R

    Anwarite girls contacts

    Heshima kwenu wadau, Natafuta mawasiliano na wahusika wa hii shule hasa ya sim au email nayahitaji kwa haraka ama kwa unae jua ada yao kwa mwaka kwa form one basi itakua vema ukinifahamisha.
  5. R

    Shirika la hisa Tanzania- Utapeli

    Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao. http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
  6. R

    Faceboo ya kibongo

    Inaitwa Mambopoint.com. Karibuni
  7. R

    Gharama/mahitaji na changamoto za kuendesha blog ( mtandao wa kijamii)

    My dears Karibuni tujenge Taifa jamani kwa kupeana maujuzi ili wengine tu copy na ku paste huku tulipo kwa maslahi binafsi kwanza na ya wengine pia hapo badae. Nilikuwa napenda kujuzwa kutoka kwenu wenye ujuzi wa mambo ya IT kuhusu hiyo mada tajwa hapo juu. Natarajia mengi kutoka kwenu Asante
  8. R

    Website ya CBE

    Jamani nisaidieni
  9. R

    Wadau wa elimu mkoa wa pwani,morogoro,singida na mwanza

    Wadau wa elimu popote mlipo nipo katika mchakato wa kutafuta shule kwajili ya kidato cha 5 na cha 6 kwa mwaka 2012,kutokana ufinyu wa fedha ninatafuta shule yenye gharama nafuu popote pale katika mikoa niliyotaja (private school)day and boarding school. Hivyo kama wewe ni mkuu wa chuo ama...
  10. R

    Hivi ndiyo kusema tumeishiwa kiasi hiki??????

    Ndugu zangu wapendwa nina wasalimu katika jina la yule mwenye jina lipitalo majina yote. Salamu kwenu wanafunzi wote mlio vyuoni na mliomaliza masomo yenu. Salamu kwenu kina Babalao na wengine wengi mliobahatika kuwa wataalamu wa masula ya uchumi. Salamu kwenu viongozi wa Taasisi mbalimbali...
  11. R

    Private candidate

    Wapendwa nishaurini, Huyu nijamaa yangu amemaliza mtihani wa form four na anauhakika wa kufanya vizuri ila kwasababu ya majukumu anataka kupumzika kwanza yaani anataka kwenda chuo chochote ili aweze kupata ajira then badae aendelee na masomo ya A Level ila tatizo nikwamba hajui aende chuo gani...
  12. R

    Bible

    Jamani form four wamefanya karibu asilimia 80 ya mitihani yao sasa naomba mnisaidie anayefahamu maswali ya Bible knoweldge anifahamishe coz kuna mdogo wangu anafanya tarehe 17 october sasa anataka kufanyia mazoezi. Kama nitapata past paper basi itakuwa nzuri sana. Mbarikiwe
  13. R

    Tusiende mbali kuhusu hisa

    Kwanza tuambiane kwa mliokwisha wahi kufanya biashara ya hisa na hasa tunapozungumzia faida,hivi tuwe wakweli ili hatimae tupime wenyewe na tuamue na sisi ambao tunafikiria kuhusu hisa tufanye maamuzi sahihi,swali linakuja kama ifutavyo. Hivi faida itokanayo na uwekezaji katika hisa inavutia...
  14. R

    My Idea

    Wapendwa wana JF Wenzangu,nawashukuru na nimekuwa nafaidika sana na ukarimu wa mawazo yenu mnayotoa bila choyo chochote hasa kwasisi ambao kidogo shule hailupata nafasi ya kuwa sehemu ya maisha yetu,mbarikiwe saaaana. Leo wana JF wenzangu kwa heshima kubwa ninaomba mnielekeze ilinipate kujua ni...
  15. R

    Hiki Kisa kimenikuta jana

    Wana JF, Mbona post yangu yenye jina hilo hapo juu haipo? Ni kwanini? Aksanteni
  16. R

    dot com ya TCC

    Kampuni ya Sigara Tanzania ni moja katiya makampuni ninayotamani kufanyia kazi lakini sijapata website yake. Nisaidieni mnaoifahamu
  17. R

    Course

    Habari za kazi watanzania wenzangu. Naombeni mishauri kuhusu course inayofaa kumpeleka mdogo wangu mara baada ya kumaliza form four ikitokea matokeo yakiwa sio mazuri Aksanteni
  18. R

    Course

    Habari za kazi watanzania wenzangu. Naombeni mishauri kuhusu course inayofaa kumpeleka mdogo wangu mara baada ya kumaliza form four. Aksanteni
  19. R

    Wazo la biashara

    Poleni na majukumu wana JF, Awali ya yote niwapongeze kwa kazi kubwa sana mnayoifanya na hata kufikia hatua ya kuwa na SAKOSI hii ni hatua kubwa sana inayotakiwa kuungwa mkono,hongereni sana. Niniaomba mnisaidie chakufanya kwani nina cash ya shilingi laki tano na sijui cha kufanya kwasasa...
  20. R

    Hellow

    Wapenzi, Ninawaslimu wote wenye mapenzi mema. Aksanteni Richardbr
Back
Top Bottom