Search results

  1. J

    Takukuru Manyara waokoa milioni 44 miezi mitatu

    Na John Walter -Manyara Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imeokoa zaidi ya Shilingi milioni 44 katika oparesheni zake za uchunguzi na ufuatiliaji. Mkuu wa taasisi hiyo mkoa wa Manyara Suzana Raymond amesema hayo ofisini kwake leo April 23,2024, mjini...
  2. J

    Miaka 25 ya huduma ya mtoto na kijana

    MAADHIMISHO. Ni miaka 25 sasa tangu kuanza kwa huduma ya mtoto na kijana (COMPASSION) KAULI MBIU "Malezi bora kwa ulinzi wa mtoto". Huduma hii inamwezesha mtoto kusoma katika ngazi zote na kuwakomboa katika hali ya umasikikini kupitia Shirika la Compassion International. Vijana wengi wasomi...
  3. J

    Mkazi wa Mawemairo jela maisha kwa kubaka

    Mahakama ya wilaya ya Babati umemhukumu kifungo cha maisha jela Yunusu Juma (18), Mkazi wa Kijiji cha Mawemairo kata ya Magugu Mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita. Hukumu hiyo imetolewa, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Manyara...
  4. J

    Mtumishi wa Halmashauri wilaya ya Hanang atupwa Jela miaka ishirini kwa ubadhirifu

    Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
  5. J

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
  6. J

    RC Sendiga, azindua kampeni "Mpe maua, atabasamu asome kifalme

    John Walter-Manyara Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
  7. J

    Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  8. J

    DC Babati awatimua wananchi waliovamia msitu wa Endaw

    Na John Walter-Babati Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza watu waliovamia eneo la Msitu wa asili wa kijiji cha Endaw hekari 192 katika kata ya Qameyu Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara kuhama haraka na kusitisha Shughuli zote. Msitu huo ulianza mwaka 2010. Twange...
  9. J

    Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
  10. J

    Mkurugenzi wa MATI atoa msaada wa fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum. Akikabidhi fimbo hizo kwa...
  11. J

    Manyara: RC Nyerere afungua kongamano la watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama watu wengine. Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu...
  12. J

    Polisi Manyara yawadaka sungusungu sita kwa tuhuma za mauaji

    POLISI MANYARA YAWADAKA SUNGUSUNGU SITA KWA TUHUMA ZA MAUAJI. Na John Walter-Babati Mwili wa Mohamedi Musa Said (42) anaedaiwa kuuawa na kikosi cha ulinzi shirikishi (Sungusungu) wa usiku mjini Babati katika mkoa wa Manyara, umezikwa oktoba 17,2022 nyumbani kwao mtaa wa Kwere mjini hapa. Baba...
  13. J

    Manyara: Diwani kata ya Nangara agawa bima ya afya ya ICHF kwa wanafunzi

    Na John Walter Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo. Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...
  14. J

    Wanawake wawili wakutwa na misokoto ya Bangi zaidi ya 1000

    Na John Walter-Babati Kiasi cha misokoto 1220 cha madawa ya kulevya aina ya bangi kimekamatwa hapo jana na jeshi la polisi katika kijiji cha mswakini kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani humo, kamishna msaidizi wa jeshi la Polisi...
  15. J

    Nyumbu 20 waangushwa kuwanasa Wahadzabe kuhesabiwa

    Na John Walter-Manyara Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu. Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo...
  16. J

    Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  17. J

    Polisi Manyara wagundua kiwanda bubu cha kuzalisha pombe kali feki, watumia jina la Konyagi

    Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi. Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
  18. J

    Mbunge wa Hanang Mhandisi Hayuma asisitiza wanafunzi kula Shuleni.

    Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni . Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
  19. J

    Askofu Konki aiombea nchi na Rais Samia

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
  20. J

    Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
Back
Top Bottom