Search results

  1. tabibumtaratibu

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Tatizo sio blog, tatizo ni wewe.
  2. tabibumtaratibu

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Wewe hutafuti kazi, unatafuta Ajira. Ungekuwa unatafuta kazi ungeshapata siku nyingi. Change your Mindset.
  3. tabibumtaratibu

    Kingwendu ahamia CCM

    "kingwendu ngwendu ngwendulile, nimesema sitaki ushambenga" 🎶🎶
  4. tabibumtaratibu

    Blog ya Millardayo.com imekuwa suspended baada ya kutolipia huduma ya hosting

    Mmh, hawa itakua hackers, sidhani kama kuna hosting company yenye ujumbe huu. Kama hosting ingekua imeisha kwenye browser ingeleta ujumbe wa DNS address not found
  5. tabibumtaratibu

    Maisha ya walimu ni magumu sana

    Mbona walimu wanalingana mishahara na kada nyingi tu hapa nchini. Walimu wengi hawana changamoto za kipato, changamoto yao kubwa ni fikra duni na kujiona wanyonge. Usidhani kuwa walimu wote nchini wanamaisha kama ya huyo jamaa anaewapa story.
  6. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Mbona kama imekua fupi sana... Anyway Asante sana mkuu kwa kutenga muda wako na kushare na sisi madini haya. Wish you all the best on your endeavors.
  7. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    This is not just a story, It is a lecture.
  8. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Bonge moja la episode. Never outshine your Master.
  9. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Visistaa duu vya hivi huwa ata kuolewa inakuwa shida .. natamani ata ungetupia picha yake, ila acha tu
  10. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    TAI DUME Uko wapi mkuu? Nachungulia kila saaa
  11. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Hii get ready for unexpected kwa mtu ambae bado hayajamkuta mambo anaweza asikuelewe. Baada ya kusema hayo, sasa nitamke rasmi kuwa niko Tayari kwa episode ya 11.
  12. tabibumtaratibu

    Msaada, Nina tatizo la uoga uliopitiliza

    Kwanza unatakiwa ujue hakuna binadamu asie na hofu, tunachotofautiana ni jinsi tunavyokabiliana nayo. Dawa ya tatizo lako ni kufanya vile vitu unavyoviogopa bila kujali matokeo yake, kama unaogopa mademu we tongoza tu bila kujali utakataliwa au kukubaliwa with time utaimprove. Huwezi kuondoa...
  13. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Watu Bigiii Bigiii Bigiiii maskini bigi wa watu
  14. tabibumtaratibu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Yani nnavyochungulia huu uzi kila mara, kama nimebandika maharage. Mkuu TAI DUME shusha vitu.
  15. tabibumtaratibu

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu nimefatilia huu uzi muda mrefu, na nadhani nisipo comment ntakuwa sijakutendea haki. Asante sana Kwa masomo yako. Nimejifunza vingi sana. Kuna sehemu nyingine nimejikuta hadi machozi yananitoka. Mungu akubariki kwa haya maarifa unayotupa bure kabisa. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🥺
  16. tabibumtaratibu

    Siri 11 ambazo unapaswa uzijue

    12. SIRI YA KUMI NA MBILI Hakuna siri hapo. Siri ni SIRI
Back
Top Bottom