Search results

  1. predizen

    Car4Sale Nauza Mitsubishi Canter Gari ya kazi

    Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo usiogope bei tutafikia muafaka mzuri tu.. namba yangu ni hii 0625 601 589 karibu sana.
  2. predizen

    Plot4Sale Kiwanja Chenye Ukubwa Wa Sqm za Mraba 560 Kinauzwa Tegeta Masaiti Dar es Salaam

    Hati ya kiwanja ipo Huduma muhimu za kijamii zipo; maji ya Dawasco, umeme, huduma za afya, maduka, shule havipo mbali. Eneo ni tambarare halituami maji kipindi cha mvua Eneo hili linafaa kujenga makazi Bei ubaoni ni 65 million Tuwasiliane kupitia namba hii 0625 601 589 karibu...
  3. predizen

    Obsession For Men Calvin Klein

    Hello! everyone, wapi naweza pata hii spray kwa hapa Dar? kama kuna mtu anafahamu location naweza pata hii kitu, itakua poa sana, thanks [emoji4]
  4. predizen

    Nauza bluetooth speaker 'Anker Soundcore Motion Plus

    Ni mpya nimeitumia mwezi mmoja, Ina watts 30 Fully water proof Battery yake inadumu saa 12 Ni HIFI PORTABLE SPEAKER Ina extended treble and bass Bei yake ni 450'000/= namba yangu ni hii 0712106223 kwa more info. Karibu sana, speaker haina tatizo lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  5. predizen

    Nauza kwa bei nafuu sana vitu vyote ni original...nasepa zangu majuu 0712 106 223 utanicheck apo, Tegeta Dsm.

    ] radio ya sony pamoja na meza yake 900,000/= Kitanda na godoro lake 700,000/= Dressing table 200,000/= Air conditioner 450,000/= Kabati la nguo 250,000/= Kabati la vyombo 350,000/= Sofa set full 1.2m Meza ndogo ya kupata soft drinks lunch dinner 150,000/= vipo viti vinne Vyuma vya mazoezi...
Back
Top Bottom