Search results

  1. W

    Matatizo ya nyonga na mifupa

    Hayo ndo yananikuta mimi mguu wa kushoto unauma siwezi kutembea kesho mapema sana naenda hosp
  2. W

    Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    tatizo ulilinalo nami limenikuta, nakunywa maji ya matembele, maziwa, folic acid, dawa nyekundu za damu, matunda lakini damu imetoka 12.9 mpk 9.8. Nataka kesho niende hospital ya serikali nikahakikishe zaid, maana sijaamini kabisaa sasa nimepewa dawa inaitwa hemovit wameniambia inaongeza damu...
  3. W

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Naomba kuuliza, nataka kulima vitunguu heka moja, nimeambiwa mbolea ya yara milla winner ni nzuri sana. Swali langu je kwa heka moja natakiwa nitumie mifuko mingapi? Na ninatakiwa nirudie kuweka mara ngaoi mpk kuvuna?
  4. W

    Zijue tabia za kimaumbile na kimapenzi za wenye nyota ya Cancer (21 Jun-20 July)

    Sina gubu, pia kukosa kuWA na mwanaume/ mpenzi hakunikoseshi amani. 10 zimepotelea hapo.
  5. W

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mungu atamponya shetani hana nafasi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. W

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Asante sana kwa maelezo yako ya kutoa hamasa, mimi ndo napambana kulima heka tatu na ndio naanza sijawah kulima hata siku moja. nalima kilimanjaro maeneo ya miwaleni.
  7. W

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Mzunguko wangu ni wa siku 30 huwa napata period tarehe 7. Mwezi wa 7 nilipata period, tarehe 21,22,30/7na 5/8 nilisex. Sasa ni mjamzito, je ni tarehe ngapi kati ya hizo ndo nilishika ujauzito?
Back
Top Bottom