Search results

  1. Z

    Bongoflava song

    Jamani kuna wimbo wa bongo flava unakipande kinaimbwa "hivi ni nini kimefanya unipendeee, unazidi kunipa mawenge" nimeutafuta bila mafanikio. Msaada plz Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Z

    Rotary clubs

    Hongereni kwa ku enjoy weekend, na kuweka mikakati mingine ya week inayofuata ikiwa tumebakiza miezi miwili na siku 11 tu kuanza mwaka 2019. Nina omba mwenye uelewa juu ya rotary clubs zilizopo hapa tanzania au kokote duniani. Zinajihusisha na nini hasa? Kwasababu ukishakutana na mtu wa rotary...
  3. Z

    Elimu ya open university

    Habarini wanazuoni na wabobezi wa elimu. Niko mbele yenu kuna masuala nataka niyajue juu ya taaluma ya OUT (open university of tanzania). Kwa watu waliosoma au kuwa na uelewa juu ya hii system ya kupiga shule.. 1. Inakuaje kuaje (maana naona ni ngumu sana kuifaulu vilivyo kutokana na maneno...
  4. Z

    Maambukizi ya ukimwi

    Ukimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
  5. Z

    Blood group b+

    Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi
  6. Z

    British council Tanzania English examination schedule, etc

    Habari wanazuoni, mimi ni mmoja wa wadau wanaotamani sana kusoma nje (scholarship) ila shida ni kwamba kuna mtihani wa kiingereza kwaajili ya kiambatanisho cha certificate - maswali yangu ni kwamba je? Mtihani hua ni wa kufaulu au wanafeli wengi, na je upatikanaji wake au kujisajuli kwake...
  7. Z

    Kupenda tabu; nimemwambia nampenda ila kasema ananiheshimu kama kaka yake

    Nawasalimu wajuvi wa mambo naamini wote wazima na hakuna aliekamatika na vuguvugu la maandamano, Ni hivi, mimi ni kijana wa makamo kuna binti nilifahamiana naye, na nilimpenda sana na yeye alikua ananipenda kama kaka yake na kuniheshimu sana, kwakweli mimi hisia ziliangukia kwake toka siku ya...
  8. Z

    Rais Magufuli, naomba uwamulike Tanesco, huu uzembe umezidi sasa

    Kwanza nikupongeze mhe rais Kwa kazi nzuri na tukufu unayoifanya, kiukweli juhudi zako kila mtanzania anaziona na kuzikubali kwasababu zimetukuka. Kero yangu ni juu ya HAWA TANESCO, wamezidi uzembe sana yaani suala la kukatika umeme imekua habari ya mjini. Sina maneno mengi sana ila OMBI LANGU...
  9. Z

    Chevening scholarships

    Poleni na pilikapilika za hapa na pale pia niwape pole na kuwapongeza Kwa kuendelea kulijenga taifa letu la tanzania. Suala lililonileta hapa ni kuomba wanazuoni mnisaidie juu ya chevening scholarship, kwamba inahitaji vigezo gani Kwa level ya masters, na pia unaanza vipi kuwa eligible Kwa...
  10. Z

    Android applications development

    Habari zenu wanazuoni. Mimi Nina elimu mwisho kidato cha sita na ckuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu kwasababu ya ufaulu wangu haukua mzuri wa kidato cha sita Ila ninapenda sana kuwa developer wa android applications. Nataka nijikite sana katika utengenezaji wa applications na project...
  11. Z

    Dhambi ya kuangalia picha za ngono

    Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake. Humjaza mtu husika hashiki na tamaa kali ya kimapezi na humfanya aendelee kutaka kuangalia zaidi na zaidi. Matokeo...
Back
Top Bottom