Search results

  1. kitundu

    Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    Naliendesha kila siku na silichoki 2000cc diesel tangu 2016. Mzigo ni wa 2010. Ila naiwaza bmw x3 2010 (f25) 3000cc diesel
  2. kitundu

    Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Nakutakia quick recovery Gwajima ili umalizie mahojiano na polisi walau tujue mlichoongea na kilichosababisha upoteze fahamu
  3. kitundu

    Natafuta dereva wa Mwanamke au Mzee

    Mshahara bei gani?
  4. kitundu

    WhatsApp yawakaba koo waongo, sasa kuumbuka!

    Hii ni setting kamanda, sio feature ya simu!
  5. kitundu

    Kuhusu Miss Tanzania 2014, ndiyo tumeshasahau au inakuwaje hasa?

    Hii ndo bongo bana. Mbona tumesahau mengi tuu? IPTL EPA KUUZWA WANYAMA HAI RICHMOND ........ (Subiri filamu za kimeksko kwenye runinga zetu...) Story ya mujin ni meno ya tembo kwa ndege ya "she"
  6. kitundu

    Msaada wa ku activate account ya apple kwenye simu yangu iPhone s5

    Pole sana kamanda. Ni kawaida kwa simu za apple. Ulichotakiwa kufanya ni kufungua account huko ulipokuwa ukitumia simu then uitumie walau ku-download appl mojawapo. Sina uhakika kama bongo nayo imeingizwa kwenye orodha ya nchi zinazo-support itunes
  7. kitundu

    Six months into our marriage, but no sex yet

    Andika kiswahili utaeleweka vizuri zaidi! Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. kitundu

    Kwa niaba ya wakazi Mbezi/Kimara [Morogoro road] nasema asante rais Kikwete na serikali yako

    Inaonekana una "allergy" ya hesabu Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. kitundu

    Dual Citizenship: Watanzania mlio nje mnajitesa na kivuli chenu wenyewe, badilikeni sasa!

    Kaka leo umeongea ukweli japo wenyewe watakurupuka na majib makali. But kukataa ukweli hakuubadilishi kuwa uongo
  10. kitundu

    Chagga Barbie claims the Prezzo has infected her with STD

    Mkuu u real have an artistic language Saluuuuute Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. kitundu

    Just a question, hivi Pandu Kificho CCM imemuona kashindwa kuongoza Bunge la katiba?

    Well said brother. Hakika ni Sitta huyuhuyu anayesifika kwa kuendesha bunge la tisa kwa kiwango ambacho hata mm sina mashaka nacho. Shaka yangu ni kama yako. Kama walimkubali kwa bunge la tisa, iweje CCM hiyohiyo ilimtosa kwa kisingizio cha gender alipogombea kwa mara ya pili? Hakika kuna...
  12. kitundu

    Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

    Ndo shida ya kuchanganya viroba!! Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. kitundu

    Profesa BAREGU ndiye kinara wa kupinga dual citizenship

    Hamna jipya zaid ya kujiandaa luiba kama mwenzenu balali. kama unawapenda nduzo kwa nn uwaache na uutake umarekani? Ulitaman uzaliwe ulaya ama marekan. Sasa u've got the opportunity! Hamia sisi hatukuhitaji
  14. kitundu

    Kirefu na maaana ya LLB

    Heshima kwako mkuu. Hii kitu kiingereza ni Bachelor in Legal Language
  15. kitundu

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Kaka punguza u-kada. Anachopendekeza bosi wako wa zaman ni serikali mbili zenye kuongozwa na watendaji (mawaziri wakuu) wawili kwa pande zote (i.e serikali mbili) na sio tatu kama unavyotaka kumuwekea maneno mdomon Juu ya hao watendaji wakuu kuwe na rais wa jamhuri ya muungano mwenye kuongoza...
  16. kitundu

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Mara ya kwanza nilipanda emirate dar-dubai-narita. Ile kuingia tu ndan ya ndege pale dar tukapewa vitambaa vyenye kias fulan cha ubichi ili kufurta mikono. Baada ya kutambua (off course nilipiga chabo kwa jiran) ni vya kufutia mikono nusura nihifadhi mfukon nikijua ndo kimekua changu...
  17. kitundu

    Rav 4 vs Xtrail

    Hakuna rav4 mpya ya 2000cc mkuu. Labda kama zimeanza kutengenezwa jana!
  18. kitundu

    Rav 4 vs Xtrail

    Hakuna rav4 mpya ya 2000cc mkuu. Labda kama zimeanza kutengenezwa jana!
Back
Top Bottom