Search results

  1. S

    Kodi inayoombewa kufutwa katika posho za watumishi wa Umma haijawahi kukusanywa

    Vile vile tusisahau kuna bahasha za khaki ambazo ndani yake huwekwa pesa (posho) kwa viongozi wakialikwa kwenda kufungua au kufunga mikutano, je hizo hukatwa kodi? Mara nyingi hizi huwa nyingi kuliko sitting allowance au per diem.
  2. S

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Kulindana, uongo, uchawi, kuua, kutetea maovu na uporaji wa mali ya umma huo ni utaratibu wetu CCM hivyo usimshangae Bashe kukaa kimya na kumpigia kampeni Kigwangala hata JK alinyamazia maovu ya EPA na Richmond na aliwapigia kampeni waharifu na leo hii anataka wajivue gamba. Kwahiyo msishangae...
  3. S

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Kauli ya Rais ni kauli ya mwisho, rais akishatamka ujue kuna vyombo mbalimbali vimefanyia kazi jambo hilo kama usalama wa taifa, polisi, Takukuru na hata JWTZ. Rais Obama alipotangaza kifo cha Osama alikuwa na ushahidi wote hivyo tunamuomba rais awataje maana ameyadhalilisha madhehebu ya dini na...
  4. S

    Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

    Ucjali potelea mbali hata 2kilala njaa haina shida kesho 2takula maana 2na imani na chama makini CDM na viongozi makini.
  5. S

    Kituo cha Polisi cha Mugumu chavamiwa!

    Kama itasaidia wainunue tu hiyo kesi, maana tunakoelekea amani inatoweka, wainunue ili wasaidie wananchi serikali na vyombo vyake vinaelekea kushindwa (Mkama na Nape waisimamie).
  6. S

    Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

    Hii haina tofauti na yule anayeomba ushahidi wa Kagoda toka kwa wananchi, au JK kusema haijui Dowans na wamilki wake. Lakini to conclude "neno la uongo likisemwa sana hubadilika kuwa la kweli..." kama lilivyobadilika la EPA likawa la kweli! TRA wawajibike kwa hili wameikosesha serikali pesa...
  7. S

    Our Brother Passed Away!

    Tuko pamoja mkuu, poleni sana na Mungu awatangulie ktk safari yenu to Iringa
  8. S

    Hi, JF Members

    Nimeona ni mhimu kuungana nanyi ili tuweze kulisukuma gurumu la JF ambalo linaonyesha mafanikio makubwa sana ktk jamii yetu ya Tanzania ktk kuishauri na kuipongeza serikali pale inapofanya vizuri. Naomba mnipokee...
Back
Top Bottom