Search results

  1. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Habari za Muda wakuu, Naomba Ushauri na kwa yeyote ambae ana uzoefu na inteview za utumishi kwani ndio mara ya kwanza na attend, kada ya commercial officer II (TRC). Walau nipate mwangaza wa interview zinavyokua. AHSANTE
  2. Jiggy El Jefe

    Call for Interview Postal Bank (Sales Executive)- Advice

    Habarini Wakuu, Kwa mwenye ideas, maswali ambayo yanaweza kuulizwa na mawazo juu ya interview za sales kwenye banks, naombeni msaada kidogo, kwani hii ndo ya kwanza kufanya, na napenda kuifanya vizuri kabisa. Ahsanteni
  3. Jiggy El Jefe

    Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Wakuu, nnaomba ushauri na mawazo juu ya biashara nzuri ambayo naweza kifanya Jijini mwanza, nikiwa na kiasi cha Tsh 2 million. Nahitaji kwenda kuishi na kufanya Biashara mkoa huo, Ushauri, Maoni au Mawazo utakua msaada kwangu. Ahsante.
  4. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Habari za Muda huu ndugu zangu. Tusaidiane kidogo kwa mawazo au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu au uelewa wa jambo hili. Kwenye kipindi cha mwezi ww tatu mwishoni nlikua najiskia maumivu upande wa kulia ww kifua yaliopanda mpaka shingoni, begani na kichwani kidogo upande huo uko wa kulia...
  5. Jiggy El Jefe

    Diclofenac 50Mg (A single pill) inakaa muda gani mwilini

    Wakuu, nna dozi ambayo haifai kuchanganya na diclofenac, na natakiwa kuianza leo mchana, sasa jana mchana nlikunywa diclofenac pill moja, je mpk sasa itakua out of system ili nianze mchana huu dozi mpya? au nisubiri baada ya muda gani? Nawasilisha Ndugu zangu.
  6. Jiggy El Jefe

    Looking For Marketing/Sales or Related Position

    I'm Looking for the Marketing or Related Position in any organization, as a fresh graduate of Bachelor Degree of Arts in Marketing. I'm capable of working within a fast paced and challenging environment, and i can make a real commercial impact as well as to improve employers business...
  7. Jiggy El Jefe

    Hivi hili linasababishwa na nini wakuu?

    Imeelezwa kwamba mwanaume anaweza akachepuka na bado akawa na mapenzi na mkewe, lakini mwanamke akichepuka hawezi kumpenda mume wake tena. Unakubaliana na hii au unaipinga?
  8. Jiggy El Jefe

    Kipi kinaumiza zaidi kati ya mwanamke na mwanaume kua sugu katika mpango kando.

    Hebu tuambizane hapa na tuwe wa kweli , hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani akiwa mchepukaji sugu huwa inauma saana?
  9. Jiggy El Jefe

    Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

    Hivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana. Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
  10. Jiggy El Jefe

    Ukiachwa na mpenzi wako, ni kitu gani cha kwanza huwa unafikiria kukifanya?

    Ukiachwa na mpenzi wako, either amekufumania au Kakuacha tu kisa ana relation nyingine labda, nikitu gani cha kwanza huwa unafikiria kukifanya?
  11. Jiggy El Jefe

    Ubakaji/kuwalawiti watoto wadogo nini hupelekea hili hususani wanaume?

    Wanaume wanaobaka hasa wale wanaobaka watoto wadogo, unadhani nini chanzo? I. Matatizo ya akili? II. Tamaa? III. Ushirikina? IV. Hulka mbaya?
  12. Jiggy El Jefe

    Wife Material

    Hivi ukisikia watu wanasema mwanamke huyu ni 'wife material', unaelewa nini?
  13. Jiggy El Jefe

    Vigoma/Vigodoro Mitaani hususani Dar husukumwa na nini?

    Tabia ya wasichana kucheza utupu barabarani pindi wanapotembea na Kigoma/ Kigodoro unadhani husukumwa na nini? Funguka hapa.
  14. Jiggy El Jefe

    Kwanini wanachuo wa kike hupendelea kubaki hostel badala ya kuingia darasani?

    Yabainika baadhi ya wanachuo wa kike hawaingii darasani, badala yake hubaki bwenini kuwapikia 'boyfriends' wao ambao ni wanavyuo. Karibu Tujadili, nini hupelekea hili?
  15. Jiggy El Jefe

    Wachambuzi Wa Soka Tukutane Hapa

    Jamani Tusaidiane Kubashiri Game za Premier Legue na zingine za leo kwa ujumla. kwa Mtazamo wangu nianze kabisa kwamba. Man Utd - Tottenham (Draw) nakaribisha wanasport wenzangu kwa game zinginezo. 28 oct
  16. Jiggy El Jefe

    Adhabu ya kumfukuza mtoto nyumabani baada ya kufanya kosa. Je, Ni sahihi au sio sahihi?

    Adhabu ya kumfukuza mtoto nyumbani baada ya kufanya makosa, unadhani inamjenga au inambomoa? Toa maoni
  17. Jiggy El Jefe

    Msaada Katika Hili

    .
  18. Jiggy El Jefe

    Mwanafunzi wa QT

    Habari Zenu wana Jf, Swali: Mwanafunzi anaesoma QT nae ukimgegeda inaweza ikawa shida kama walivyo wa Secondary kawaida? Lets say ni age above 18.
  19. Jiggy El Jefe

    Public Relation and Protocol Officer (BOT)

    The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s central bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant position at the Head Office. Following Bank’s review of its staff establishment, all job positions...
Back
Top Bottom