Search results

  1. Mtumwa huru

    Tetesi: Tetesi: kufutwa kwa matokeo ya darasa la saba 2018

    Wakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
  2. Mtumwa huru

    Nipokeeni...!

    Ni mgeni lakini sina kamba mguuni....Nipeni kiti nikae japo nitokapo si mbali.....fungueni vyenu vinywa tusalimiane huo ndo uungwana! Shikamooni wakubwa
  3. Mtumwa huru

    Naombeni kiti nikae wana jf

    Jina langu mtumwa huru, Jinsia-Me)Naombeni ridhaa ya kuwa nanyi waheshimiwa, nimejifunza na kufurahia mengi kwenu kabla ya kuamua kupiga hodi humu......
Back
Top Bottom