Search results

  1. M

    kwa anaependa kujiajiri ili kuwa na kipato endelevu hii ni nafasi yako

    kuwa mwamuzi wa mwisho wa maisha yako, Wasiliana nasi 0713 220 424
  2. M

    Kazi Alliance One, Trainee post

    ngoja kwanza naongelea ile ya tobacco? kwani wameita lini kwenye hiyo interview.?:yawn:
  3. M

    Ujinga wa utotoni

    hahahahahahah usinikumbushe mana ndio ulokuwa mchezo wangu naenda kumwambia mwenye duka mama anataka mchele mzuri ulionao akauone, ananiambia chota ikifika hapo ameumia nachukua mwingi naenda kupikapika...siku 1 akanifuatilia akakuta napika alinibeba hadi home nilikula kichapo cha paka mwizi...
  4. M

    Upigie kura mlima Kilmanjaro bure kwa kuandika neno"kili" tuma kwenda 15771 Voda na Zein ni bure

    wakisema tuipigie tanzania kuwa ajabu la dunia nitapiga fasta mana tunaishi kimaajabu sana.
  5. M

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    sasa ndugu yangu,kwa nini usianzishe asasi yako binafsi na baadae uombe msaada kwenye office zinazohusika na kupigana na umasikini kama repoa
  6. M

    Naomba kujua maana neno ya TRAINEE

    Inaonekana wanatoa kazi kwa kujuana na hawafati sheria za ajira...na huo ndio mwanzo wa kuwa kibaraka wa mtu aliyekuleta kama ni dada utaombwa ngono kama malipo ya kuwekwa kazini kama ni kaka utaishia kuwa kuwadi au watchman wa aliyekuleta.
  7. M

    Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

    halafu waziri wa kazi anasema wasio na ajira ni asilimia 16 jamani watazania tujifunze kuwa wakweli tutakuwa huru.
  8. M

    Shalobaro wa Ukweli

    komando kipensi,kitu cha rambo hicho.
  9. M

    Equity bank tanzania limited

    nimekuwa 1 kati ya email zilizokataa kwenda.
  10. M

    Follow Me If You Can!

    ni ujinga kushirikiana na wajinga
  11. M

    Misamiati ya utoto......!

    mma-maji ****-tango mkumaa-mshumaa itobe-kikombe chapumu-sabuni mbuu-ubuyu chiimu-ice cream itobe-kikombe
  12. M

    Nao washaita

    Nini shost! Hakuna cha mia wala kumi,mi naona wananitatiza tu.Zile za chuo hadi leo kimyaaaa kama kafa panya.
  13. M

    Nao washaita

    kama upo watakuita
  14. M

    Mishahara ya supermarket

    Hata mi mwenyewe kitu hicho kinanisumbua wakati wa interview na inawezekana ndipo ninaposhindwana nao , ila cha msingi ndugu wakiuliza wakulipe kiasi gani wajibu kimtego waambie wakutajie mishahara yao kitu ambacho hawatafanya na wakilazimisha sana waaambie kutokana na elimu yako na viwango...
  15. M

    Nafasi za Kazi; Mohammed Enterprises Tanzania Limited

    wanawazimu na experience zao.
  16. M

    Kazi pal..

    Kwani vipi jamani?mi mbona nafanya kazi hapo huwa nawa-wellcome wageni.
  17. M

    chance za kazi hizo

    Mi post ya ukweli,asante keep on informing
  18. M

    Never lie to your Mom

    mama wa ukweli
  19. M

    Je wewe una tabia ya mnyama gani maapenzini?

    mi mwenzenu kunguru full busy
  20. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Sina uhakika ila ukiomba mkopo si unapeleka mchanganuo kwanza na wakiridhika ndio unapewa hela, sasa kama ni hivyo ni bora ufuate huo mchanganuo vinginevyo, tunasubiri majibu baada ya sikukuu.
Back
Top Bottom