Search results

  1. ID Fake

    Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

    Nawasalimia kwa jina la JMT. Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka. Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo! Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri. Ila hii picha ya...
  2. ID Fake

    Msaada: Wanapouza "Safe" a.k.a Vibubu

    Salaam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza; naomba kuelekezwa mahali panapouzwa hivyo vifaa vya kuhifadhia fedha kwa hapa Dar es Salaam. Nahitaji safe original kama hizi zinazoonekana pichani, na sio zile fekero za vichochoroni! Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom