Search results

  1. wise boi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu naomba unisaidie link ya app au app nidownload kwenye pc kwa ajili ya kuangalia mpira.
  2. wise boi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu naomba link ya game ya leo.
  3. wise boi

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Sina visa ya canada kuna fursa za masomo nataka nikaulizie. Ninachotaka ni utaratibu wa kufika embassy kwenda kuonana na advisor wao ili niulizie baadhi ya mambo.
  4. wise boi

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Wakuu ninataka niende canada embassy kuulizia fursa mbalimbali za elimu. Mnaweza kunielekeza jinsi ya kuweka appointment? Au ninaenda tu directly nitajielezea getini? Nimepiga namba ya simu ya ubalozi wanasema niweke mailbox number na mimi sina.
  5. wise boi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Chief-Mkwawa kwa sababu anthony amepewa jezi namba 21 je kuna uwezekano greenwood akarudi? Na kesi yake pia inaendeleaje?
  6. wise boi

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Mkuu sorry... Tigo na zantel zinakubali?
  7. wise boi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ingia hesgoal.com kucheki hii game
  8. wise boi

    Sababu gani ilikufanya uachane na baby mama wako?

    "Jitahidi kabla ya kuoa umjue mwenza wako kitabia vizuri"
  9. wise boi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bruno fernandez game ya kwanza msimu huu vs leeds united kama rekodi zangu zipo sawa.
  10. wise boi

    Wizi wa laptops kwenye mabasi

    Uzi wako haujakamilika mkuu. Elezea wanaibaje ili uwape watu elimu ya kujikinga
  11. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Mkuu nimejaribu kufanya kila kitu nimeshindwa lakini naomba unisaidie link ninayoweza kudownload google na gmail apk file nijaribu na huko kama itawezekana.
  12. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Hio olay service na framework niliziweka kama walivokua wanataka kwenye link.
  13. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Mkuu kama unaweza kunisaidia nitashukuru sana maana mimi sio mtaalamu sana kwenye hayo mambo.
  14. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Hiyo aption ya google haifunguki hata kama ukibonyeza mara nyingi. Nimekwama hapo.
  15. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Mkuu leo nimejaribu tena kwa kutumia hiyo link nimeweza ku-install vizuri na kufata kama walivoandika. Ila kuna shida sehemu mbili cha kwanza inakataa ku-add account ya google pia inakataa kufungua playstore hadi usign in google.
  16. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Mkuu nimejaribu kufanya kwa kutumia hii ukiyonitumia ila imeniletea matokeo ya kama hiyo picha ya juu inavoonesha
  17. wise boi

    Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

    Android version ni 10. Hii ndo google installer niliyotumia. Je unaweza nitumia nzuri zaidi ya hii kwa ajili ya android version 10
Back
Top Bottom