Search results

  1. M

    Thomas Sankara The African Che Guevara

    Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ... Africa Ina MASHUJAA --- MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO Kama Kuna usemi umeshawahi kuusikia ya kwamba “wema hawafi” Basi usemi huo una ukweli ndani yake maana Mimi na wewe msomaji...
  2. M

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    zitto hawazi pua na mdomo km mashabiki wa cdm
  3. M

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    hao ndio viongozi wa cdm jamani...chama kina matukio hko
  4. M

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    cdm wapo kwenye foolish age....
  5. M

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    ni kwamba chadema hakuna mfumo wa vikao au inakuwaje mbona mnazungumza humu...kila siku tunasema cdm siyo chama ni mkusanyiko tu c mmeonaa eeh:shocked:
  6. M

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    nan anabisha slaa siyo mdudu?
  7. M

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    bado hujakifaham chama hichi ushazoea kujilipua mabomuu wewee
  8. M

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    wajipange tu kwenye kumtafuta rais wasitufanye watz hatuyafaham hayo:kev:
  9. M

    Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    huifahamu vizuri uwt ww uliza uambiwe hawa wamama bwana wanafanya kazi na hii inatokana na uongoz thabiti uliopo juu kwao..ss hv wana vicoba na saccos kila mahala na wanatumia tekinologia ya juu ya mitandao
  10. M

    Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    hapa hatuangalii kuwa na jimbo tunaangalia uwezo wa kiongozi maana km sophia simba hana jimbo mbona hata kilango hana uwaziri au utukumbushe wizara yake
  11. M

    Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    uthubutu anao maana kumbuka alishawahi kugombea ilala...kwani shida nn kiongozi ni yule mwenye kuleta maendeleo kwenye jamii na siyo porojo kwani hicho kiwanda cha tangawizikimeishia wp
  12. M

    Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    heh heh hyo story hata mimi naifahamu huyu mama anataka kuipoteza jumuiya kabisa maana kama ni uongozi hawezi
  13. M

    Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    kilango ameshindwa kiwanda cha tangawizi ndio ataweza taifa...hebu tujuzane kwa hilo..
  14. M

    JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

    na nyie mnaomwona kanumba hakupaswa kupatiwa hzo fedha kusaidia mazish misiba yenu mtu akichangia pesa nying basi mia pumbaf zenu..wivu tu
  15. M

    JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

    mmh hao wa eac hata ww unaruhusiwa kuwasaidia utakaowaona wana haki acha wivu...
  16. M

    Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

    Lusinde ni mwanasiasa mchapakazi na hodarii...thats all i know..hzo zingine porojo tu
  17. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Acha ufitini mbona husemi tukaelewa huyo ndesa pesa anaishi kwenye nyumba ya matope...mana nyie cdm c ndio watz wa kawaida bana...acheni uchochezi huwezi mbunge mzima ukaforge elimu halafu uachiwe eti kisa utaandamana au watu watakulilia..na km kuliliwa hata rostam watu walizimia umesahau.. Ndio...
  18. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Acha ufitini mbona husemi tukaelewa huyo ndesa pesa anaishi kwenye nyumba ya matope...mana nyie cdm c ndio watz wa kawaida bana...acheni uchochezi huwezi mbunge mzima ukaforge elimu halafu uachiwe eti kisa utaandamana au watu watakulilia..na km kuliliwa hata rostam watu walizimia umesahau..
  19. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    kwani lema angesema ukweli kuhusu elimu yake ingekuwaje mbona kuna wabunge ccm ni darasa la 7 na wanawatumikia vizuri wananchi wao...NA JE HUYO LEMA ANAVYOITUHUMU IKULU NA HILI LA KUFOJI ELIMU YAKE NI LA IKULU BANA NAWAAMBIA AKILI YA KUAMBIWA........LEMA USITAPETAPE WEWE KUBALI HUKUM U YAKO NA...
  20. M

    kutukanwa itukanwe CCM tu na siyo CHADEMA kwanini?

    Mhe lusinde bado ataendelea kuwa kiongozi mahili na shupavu ndani ya chama cha mapinduzi na jamii inayomzunguka tukumbuke alisaidia mno kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga..
Back
Top Bottom