Jamani Tanga kunani? Mbona juakali linaua viumbe?
Ukame tena jamani! Kalinyesha ka mvua kidogo tukapata majani kidogo, sasa ni jua kama la tanuru la Moto.
MUSHAIJA WA HOVYO KABISA! ULITAKA AFANYEJE? KUBWABWAJA NDIO KUSHINDA KESI? KUBWABWAJA NDIYO KUONEKANA UKO CONCERNED? DO YOU KNOW THE INSIDE STORY WHICH IS GOING ON AMONG TOP CHADEMA LEADERS.
STOP THIS NONSENSE PLEASE
johnthebaptist, hwa nakuona kama mtu sensible kukubali ukweli kama Polepole alivyokuwa anakubali kuwa panapo uchaguzi wa huru n haki CCM ijiandae kukabidhi dola. Kweli unadhani kama kuna uchaguzi wa huru na haki (at least tume huru tu yenye composition ya vyama vyote...) CCM itasimama? Uwe...
exactly, nami nimeandika hivyi twita mchana huu! Uko sahihi kabisa. Hakuna nia ya kusema watu waje na mabango ya kumtukana Rais, alimaanisha kama wana grievancies na yeye kama RC , basi hata mabango ya matusi waje nayo tu!
Nina uhakika Lisu angelikuwepo angetafakari zaidi kabla ya kushangilia. Line yako ya reasoning ni sahihi kabisa.."kutisha" kunasaidia ku deter others from committing the same mistake
Ndiyo CCM, hakuna wasichoshangilia. Lolote as long as limetoka kwa mwenzao watashangilia. Ukisema kuku amezaa kifranga watashangilia wakati wanajua kuwa kuku hawezi kuzaa kifaranga bali anataga mayai.
Ndiyo CCM
Sijapendas kauli zako. Nikikujibu ipasavyo nitafungiwa maana nitakujibu kwa lugha chafu kama uliyotumia au kuzidi. The best way forward is to get you blocked!
NO, nilitaka kuondo shaka kuwa labda hana required subjects combination to meet admission criteria.
By the way ukiwa O level, kuna science1 na science2 and then Arts.
Science 1 (one) ni pure science ie wanasoma physics na chemistry, pure maths (additional math),
science 2( two) hawasomi...
Thanks, nakuelewa hivi: kuwa Diploma yoyote ni miaka 3 na lazima uwe umemaliza F4. na A level kozi zake huwa ni miaka 2, hivyo utachaguliwa kwa cheti cha F4 maana hakuna F6 diploma ya miaka 3 ya clinical medicine? Am I right?
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.