Search results

  1. 2hery

    TCRA, Vodacom "Tusua Mapene" inawaibia watu

    Imekuwa ni kawaida ya makampuni ya simu kuanzisha promosheni au bahati nasibu na kuwatumia wateja wao sms za kuwataka waendelee kucheza michezo hiyo. Kwa leo tuongelee kampuni ya Vodacom kupitia mchezo wao unaoitwa Tusua Mapene, ukitumia namba 15544. Huu mchezo umekuwa ukiwaibia wateja kwa...
  2. 2hery

    Azam Tv iombe radhi kwa mwaliko huu

    Ni takribani mwezi sasa tangu azimio la wahariri na wanahabari kutamka kutompa ushirikiano mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite.. Leo katika mtandao kuna habari inasema huyu Bashite atakuwa mgeni rasmi kwenye mashinda ya Basketball mkoa wa Dar es salaam huku mashindano hayo yakidhaminiwa na...
  3. 2hery

    Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Kwa wadau wa mziki huyu Ney mnamchukuliaje? Sikiliza muziki wake mpya Verse 1: Unachokipanda leo ndicho utachovuna kesho. Imeandikwa Mwanaume kula kwa jasho. Najiuliza hivi ni nani kaiona kesho. Chapa mwendo na ukilala hauna chako. Hivi uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo?. Usije...
  4. 2hery

    Halmashauri Jiji la Arusha lakaidi amri halali ya Serikali

    Ikiwa takribani miaka miwili tangu serikali kutangaza kubadili mfumo wa ukusanyaji mapato na kuwa wa kieletroniki, Uongozi wa jiji la Arusha chini ya usimamizi wa CHADEMA umekaidi amri hiyo pamoja na sheria zake na kuendelea kutumia risiti za vitabu. Vyanzo vyetu vimebaini hali hii ambayo...
  5. 2hery

    Namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu

    Wakuu, Siasa inahitaji maandalizi ili kushika nafasi ya juu katika uongozi wa nchi. Nimekuwa nikimfuatilia Ndg. Mwigulu Nchemba tangu sakata la Arusha mpaka kutaka kugombea urais kupitia chama chake CCM.Nilichokibaini kuna mabadiliko sana katika mwenendo kauli na hata uvaaji. Kilichonishtua...
  6. 2hery

    TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

    Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu. Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia) Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba...
  7. 2hery

    Ujenzi Holela na utoaji wa vibali vya ujenzi

    Wadau wa jukwaa wasalamu Kufuatia kuendelea kuvunjwa kwa nyumba zilizojengwa sehemu zisizo stahili nina mambo haya napenda tujadili a.Kuna uhalahi wowote wa watalamu wanaohusika na kutoa vibali vya ujenzi na mipango miji kuendelea na nafasi zao? b.Tumeshuhudia nyumba za maghorofa ambapo ujenzi...
  8. 2hery

    ITV: Malumbano ya hoja - Kafulila anafafanua mambo

    Tufuatilie kupata elimu ya uchumi
  9. 2hery

    Msekwa akiri walifanya makosa kwenye Katiba inayopendekezwa

    Katika mwendelezo wa viongozi wa CCM kuonyesha usanii, leo asubuhi Pius Msekwa akihojiwa katika kipindi cha powerbreakfast on saturday cha Clouds Fm, amekiri waziwazi kuwa nafasi ya mwananchi katika kumwajibisha kiongozi mbovu aliyemchagua haipo. Tukumbuke CCM ilipinga pendekezo la tume ya...
  10. 2hery

    Nape akimbia nguvu ya Mnyika Ubungo

    Habari wana jamvi, Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupamba moto imefahamika kuwa jimbo la ubungo wagombea wengi wameanza kuogopa nguvu ya JJ Mnyika ambapo sasa wameamua kutafuta majimbo mengine. Mmoja wa wanasiasa ambae amekimbia moto wa Mnyika ni bwana Nape Nnauye ambae ameenda...
  11. 2hery

    whatsap kwenye simu za Tecno

    naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno.
  12. 2hery

    vijana waliodhulumiwa ujana wao

    katika jamii yoyote ile rika lenye nguvu hupewa nafasi ya kipeke kufanya maamuzi ya mambo mbalimbali kwa manufaa ya wengine. leo katika kuangalia kipindi cha dira ya dunia saa tatu usiku..mwandishi wa habari Zuhra yunis anadai kutokana na mahojiano na mfuasi wa alshabab moja ya sababu ya...
  13. 2hery

    waziri Mathayo D. Mathayo aonja joto la mabadiliko

    akiwa mkoani morogoro kufuatilia mgogoro wa wafugaji na wakulima,waziri alijikuta katika hali mbaya baada ya kuamuru wanakijiji kuachia ngombe za wafugaji bila malipo.wakulima kuona hivyo walimwambia wazi wazi bila ya kitafina maneno ng'ombe hawatoki bola malipo.source TBC1 Habari saa mbili usiku
  14. 2hery

    nauliza Chit -Chat

    hivi line za tigo nazo zitalipiwa kodi.????....
  15. 2hery

    vinyama vitatu chini ya uke vinatisha

    Wakuu cjui nina bahati mbaya au ni nini.katika mademu watano nliyokutana nao kimwili miezi ya hivi karibuni watatu kati yao wana hivyo vinyama kama si kimoja basi ni vitatu.kwa kweli vinaondoa ladha kabisa.je wakuu hivi vinatokana nini na nini madhara yake kama utakutana kimwili na mtu mwenye nacho
Back
Top Bottom