Search results

  1. Z

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu naomba kujua document gan napaswa kusubmit BRELA pale kampuni inapoamua kubadirisha/kumpunguza director?
  2. Z

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Shukrani mkuu. Nmekutana na spectre nmeielewa zaidi. Gen 10 corei7 si njema tu?
  3. Z

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu Chief-Mkwawa asante sana kwa elimu unayoitoa mkuu. Mimi naomba msaada wa mawazo. Nahitaji laptop mpya nzuri itakayoweza himili kazi nyingi. Budget yangu ni btw 2M - 2.5M (nitavutiwa zaidi kama itakua super slim) Nawasilisha.
  4. Z

    "kunominisha"

    Naomba nieleweshwe kama KUNOMINISHA na KUUNDA KITENZI JINA ni kitu kimoja au kuna tofauti na kama kuna tofauti ni ipi? Mfano: neno "CHEZA" kati ya "KUCHEZA" na "MCHEZO" ipi ni sahihi katika unominishaji
  5. Z

    Naomba mnipokee!!

    Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  6. Z

    Naomba mnipokee!!

    Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Back
Top Bottom