Search results

  1. scientist 08

    Ushauri wenu kwa ndugu yetu huyu

    Kisa kipo hivi, Jamaa walikuwa kwenye mahusiano na mdada miaka sita, huyu dada alikuwa amalize huu Mwaka chuo harakati za ndoa zianze, kuna miezi iliyopita Mdada alipitia kwa jamaa akitokea chuo hivyo wakafanya ya kiutuzima, badae mdada akasema amepata mimba Yake, hivyo wakatambulishana...
  2. scientist 08

    Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Hata Mimi nilitegemea kwanza wimbo wa taifa kupigwa alafu ndo tuanze kujiuliza kuna nini?? Sasa ndo raisi ahutubie taifa kwa kutoa hiyo taarifa,
  3. scientist 08

    Natafuta kazi: Nimesoma medical laboratory science

    Nakuelewa saana uko vizuri ile shule yakina majigo hukuitumia vibaya, mwajiri wako hatapata shida
  4. scientist 08

    Jenga na sisi Geita, Kahama, Chato, Mwanza, Kagera na Kigoma

    The dreamer company, nikampuni ambayo ipo geita na imeanzishwa kwa ajili yakuwasaidia watanzani wanaojenga kwa kuwauzia bidhaa kwa bei rahisi na pia kuwafikishia bidhaa wamiliki wa maduka ya ujenzi Kwa bei rahisi kama: 1. Gypsum bord aina zote 2. Mikanda ya gypsum aina zote 4. Maua aina zote 5...
  5. scientist 08

    Gypsum board , mikanda ya gypsum pamoja na maua angle na stick zake

    Tunasambaza vifaa vya ujenzi tajwa hapo juu, Kwa bei ya jumla hususani Kwa wale wenye hardware na ujenzi mkubwa, karibu saana Kwa bei ya kawaida Kwa wale Wa kigoma, shinyanga ,Geita ,kagera ,mwanza na Musoma
  6. scientist 08

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    wekeza kwenye upande Wa afya, pharmacy au lab, hapa unaweka wasimamizi alafu kila mwezi unafanya hesabu. Upande wangu nina Nina uzoefu upande Wa lab.
  7. scientist 08

    Nafasi 3 za kazi Turiani hospital

    Chief ukihitaji medical laboratory scientist nipo hapa.
  8. scientist 08

    Internship Tanzania baada ya kusoma nje

    Sawa mkuu, Ngoja nibakie mlevi Kwa sababu nikiweka evidence hapa unaweza ukafuta post zako zote, Ngoja na wengine wadhihirishe ujuaji wako.
  9. scientist 08

    Internship Tanzania baada ya kusoma nje

    Kwanza nianze Kwa kusema kuwa environmental health science ni kozi ya afya, Rejea vyuo vinavyoitoa kama MUHAS, KCMC. Pili kuhusu internship, unapomaliza kutoka chuo ulichosoma , unakuja na vielelezo vyako vyote wizarani kwenye baraza husika, baada ya hapo unapangiwa internship wala hakuna ugumu
  10. scientist 08

    Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

    Hivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku...
  11. scientist 08

    Kama Rais Magufuli angepatikana mwaka 2010 Tanzania tusingekuwa na Mateja na wazurulaji

    Ngoja niachane na wewe,,,inaonekana labda hata shule hujaenda,,,wewe unaifahamu mifumo ya elimu ya Tanzania??? Tufanye bas kuwa ipo kama hiyo ya veta, kwahiyo unaweza kujiajiri bila mtaji???? Wewe umejiari mkuu au umeajiriwa???
  12. scientist 08

    Kama Rais Magufuli angepatikana mwaka 2010 Tanzania tusingekuwa na Mateja na wazurulaji

    Endeleeni kupiga mapambio , Naamini ingekuwa kipindi hicho cha 2010 vijana walioongezeka na barua za kaki kutafuta ajira hawakuwepo , kipindi hiki vijana graduate wamejaa kitaa hawana ajira ,hawana mitaji alafu unakuja na huu Uzi hapa
  13. scientist 08

    Kama Rais Magufuli angepatikana mwaka 2010 Tanzania tusingekuwa na Mateja na wazurulaji

    Endeleeni kupiga mapambio , Naamini ingekuwa kipindi hicho cha 2010 vijana walioongezeka na barua za kaki kutafuta ajira hawakuwepo , kipindi hiki vijana graduate wamejaa kitaa hawana ajira ,hawana mitaji alafu unakuja na huu Uzi hapa
  14. scientist 08

    Imewapata wachunga mbuzi wengi wakiume umri 16-18

    Punda hapana,,, ila Mbuzi na ngo'mbe nivitu vya kawaida Kwa vijana wanaobalehe alafu Muda mwingi wapo wanachunga, Na kipindi cha jua Mbuzi hujikusanya kwenye kivuli ambapo mchungaji yupo
  15. scientist 08

    UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

    Kweli zamani mm
  16. scientist 08

    BMLS in Microbiology, BMLS in Parasitology

    Sio kimtindo intensively ,reference Mimi mwenyewe,,,Bmls histo
Back
Top Bottom