Search results

  1. S

    SECURITY SERVICE, www.firstsecurity.co.tz

    SERVICE PROVIDED by First Security Co LTD Our Security Officers are selected, trained and equipped for a variety of environments and situations, our policy is to use only long serving guards who have proved themselves to be both trustworthy and mature enough to shoulder the responsibility of...
  2. S

    Mbowe ongezeko la ruzuku kutoka Serikalini sawa lakini na ofisi za kudumu mikoani na wilayani vipi?

    Hakuna hoja hapa, kumbuka CHADEMA ni chama cha siasa na sio REAL ESTATES COMPANY, kuna vipaumbele vingi katika taasisi kubwa kama CHADEMA, mimi kama mchumi siwezi kukubaliana moja kwa moja na hoja yako ya kununua ardhi na kujenga majengo endapo majengo ya kukodi yapo na ni gharama nafuu kuliko...
  3. S

    Mahitaji ya kusajili kampuni

    Nataka kusajili kampuni ya ulinzi na construction nipe mchakato na gharama
  4. S

    Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Na ninauza for cheap price kwa sababu nilitengeneza ila kabla haijamalizika nikahama eneo nililokuwa niweke project, na nimekosa manager
  5. S

    Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Yangu ni 30hp inaweza kusaga 6tone kwa siku
  6. S

    Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Ninayo machine mpya nauza,contact 0719732363
  7. S

    Accountants and Tax Consultants

    We offer a service of tax consultant, financial statements preparation for TRA,BANK,Management or any other user for companies,organisation,individual etc. Tunatoa huduma ya ushauri wa kodi za TRA, Pia tunatengeneza mahesabu ya kampuni,watu binafsi,taasisi mbalimbali n.k kwa ajili ya...
  8. S

    CHADEMA yasambaratishwa: Mjumbe wa NEC Taifa na Uongozi wa wilaya wahamia CCM, ofisi yafungwa

    Unanishangazaga sana Juliana Shonza unapojifanyaga unaijua sana chadema na viongozi wake wakati wewe hukuwahi kufanya chochote chadema,, we mshukuru kamanda Heche kukufukuza ukafahamika na wajinga wenzio waliokupa kazi ya ubeki tatu singida.
  9. S

    CHADEMA yasambaratishwa: Mjumbe wa NEC Taifa na Uongozi wa wilaya wahamia CCM, ofisi yafungwa

    Unanishangazaga sana Juliana Shonza unapojifanyaga unaijua sana chadema na viongozi wake wakati wewe hukuwahi kufanya chochote chadema,, we mshukuru kamanda Heche kukufukuza ukafahamika na wajinga wenzio waliokupa kazi ya ubeki tatu singida.
  10. S

    M4c na chopa 4 huku makatibu na wenyeviti wa wilaya na mikoa njaa kali

    Chadema hakuna maslahi hapa ni ukombozi wa nchi, kama unataka malipo nenda CCM! Fedha zinazopatikana zinatumika kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na ufisadi kwa Taifa!
  11. S

    IGP - Mtandao huu ni hatari - Part I

    Nadhani hili swala si kama tunavyochangia kimasiara wakuu, mtoa mada umefanya vizuri sana na ukweli ni kwamba hili swala lipo na wahusika ni hao wanaojiita mapedeshee wa mjini, kamanda IGP na wengine wanaopita humu lichukueni hili mlifanyie kazi maana litakuwa janga la taifa soon, watu watakufa...
  12. S

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Kweli hapa Lowasa unapoteza pesa zako, mtu huyu uliyemtuma anahoja za kutukumbusha maovu yako na pale anaposema mwalimu alikuwa na chuki binafsi na nyie na JK kwa hali hii ya swahiba wako hupati kitu hapa hata utoe chapaa!
  13. S

    Aliko Tundu Antipas Lissu

    Jana tulikuwa nae msibani!
  14. S

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    Wewe Kishoga huna akili kabisa, unamuona Lema na Mbowe ni waalifu kwa kupigania haki na Uhuru wa Watanzania? Inamaana unakubaliana na wizi wenu na chama chako?
  15. S

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    NEVER NEVER ON EARTH Kamanda Mbowe ninavyomfahamu asingeweza, wala hata weza kukimbia polisi kutokana na ujasiri na uchungu alionao katika ukombozi wa nchi hii mikononi mwa Mafisadi na serikali dhaifu ya CCM.
  16. S

    Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

    Huu ni ushauri wa busara na CHADEMA ni chama chenye busara nadhani no comment makamanda lazima turudi Igunga tukawashukuru!
  17. S

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Iv huyu muuwaji mbona mkutano wake kama vile aliufanyia msituni! Au ndo mti wake wakujinyongea? Maana chadema ikichukua nchi hana bahati muuwaji kama huyu na wenzake!
  18. S

    Chenge kujivua gamba leo?

    Sasa mapacha hawa mbona hawaendi sawa amebaki mmoja sasa, nadhani yeye atajivua uanachama!
  19. S

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Sidhani kama CCM watasimamisha mgombea, watashirikiana na wenzao CUF wasimamishe mpinzani wa CHADEMA!
Back
Top Bottom