Search results

  1. S

    Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze

    natafuta kazi za kwenye mashirika ya simu anayejua kama zimetoka nafasi tafadhali anijuze mwananchi mwenzenu. nina diploma ya marketing na public relation.
  2. S

    Nikiwaita wanawake wenye tabia hizi kuwa ni vichaa nitakuwa nimekosea kweli?

    Na wanaume wanaong'ang'ania wanawake ambao anajua kabisa hamtaki lakin utakuta anampigia magoti nusura alie hvi hii ni akili kweli au niite wendawazimu?
  3. S

    Vifuatavyo ni viashiria kwamba mwenzio hakuhitaji tena

    Mimi ni mfuatiliaji sana wa forum hii ya mahusiano na mapenzi,urafiki katika kipande hiki nilitaka niwahabarishe wenzangu ambao mna marafiki,wapenzi au hata wachumba ambao mna ndoto za kuja kuishi nae pamoja kama mke na mme. zifuatazo ni dalili kwamba mwenzio hakupendi au moyo wake haupo nawe...
  4. S

    Kurudishwa jairo kwa wakera wabunge.

    wizara ya nishati na madini ilifanya upelelezi wa haraka kabla ya kusubiri uamuzi wa bunge maoni yangu hapo wangesubiri kidogo.
  5. S

    Kurudishwa jairo kwa wakera wabunge.

    Katika hali isiyo ya kawaida kwa Wabunge walihoji bungeni kulikoni Bw,David Jairo kurudishwa kazini katika kile kilichoitwa kamati ya upelelezi wa Bunge na ile ya wizara ya nishati na madini (CIG),katika kile walichokiita alifanya uchangishaji wa fedha wizarani ili bajeti ya wizara ya nishati na...
  6. S

    Kwanini wahanga wa mabomu Mbagala hawajalipwa fedha zao mpaka leo?

    Ulipukaji wa mabomu katika kambi ya mbagala mwaka 2009 mwezi wa tano ulileta maafa hususani kwa wakaazi wa eneo hilo na viunga vyake,nyumba za wananchi zilibomoka kwa kupigwa na mabomu,zingine zilipata nyufa kubwa ambapo ni hatari kwa maisha ya wakazi hao,lakini cha kushangaza wale ambao...
  7. S

    Watanzani tuna uelewa zaidi wa kiingereza?

    unajua ndugu yangu watu wanashindwa kutambua maeneo muhimu ya kutumia maneno haya mfano unakuta mtu kaandika chicken chips. baada ya kuandika( take away food) au unakuta mtu kaandika cafe hivi hawa watu nadhani wanatakiwa kwenda shule ili wakajifunze wasipotoshe lugha za watu.
  8. S

    Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

    inatakiwa msimamo wa hali ya juu na kujiamini,maana vijana wengi wazushi tuu siku hizi?
  9. S

    Utambulisho wa uchumba...

    ndugu yangu uchumba mtakatifu ni ule unaotakiwa kuheshimiana na sio kuchakachuana,ukiona anakuomba mabo ful;ai huyo ana tamaa zake sio muoaji kabisa ana llke jambo tena umkimbie kama ukoma. hata bibilia inasema ikimbieni dhambi ya zinaa, nikinukuu kwenye kitabu cha mwanzo yusufu alimkimbia mke...
  10. S

    natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

    inaonyesha wewe dada umekaa kifedha zaidi huna mapenzi ya kweli,hebu zungukia maboss nadani watakufaa zaidi
  11. S

    Sereous relationship

    sasa brother unayatafuta mchumba hata picha tu hujaweka unategemea mtu anaweza kukupenda hajakuona mwonekano wako au ulikuwa unatuzuga tuu.
  12. S

    Mume amtoroka mkewe zaidi ya miaka kumi na nane na kwenda kusikojulikana

    Baba mmoja amtoroka mkewe na kwenda kuishi pasipojulikana zaidi ya miaka kumi kwa kile kinachosemekana ugumu wa maisha,mkewe akadhani kuwa mumewe amekwisha kufa kwa sababu kipindi anaondoka aliwaacha wanawe wakiwa wadogo wa miaka minne, ndugu wa baba huyo wakaamua kuweka matanga na kudhani...
  13. S

    Mtoto wa miezi nane aibiwa katika mazingira ya kutatanisha mkoani Mwanza

    Mwanamke mmoja anayesemekana ni mke wa mtu,alikuwa ametokea wa Mara willaya ya Tarime alikwenda, Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuomba kufanya kazi za ndani kwa mama mmojo (majina yao yamehifadiwa) inasaemekana huyO dada wa ndani walipatana na mme wake kwamba mkewe akatafute kazi za ndani ili...
  14. S

    Tabia za utongozaji wa wanaume

    Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli. Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
  15. S

    More Gold in Tanzania... People remain poor!

    nakukubali but si unajua viongozi wetu wanavyoipleka nchi katika umaskini kwa kusaini mikataba mibovu,we umesikia wapi mkataba wa miaka mia,nchi za ulaya unasaini mkataba but percenyt kubwa inakwenda serikal;ini na kunufaisha wazawalakini kwa nchi ka a Tanzania ni ndoto because viongozi wetu ni...
  16. S

    How to use JamiiForums effectively

    Hoja ya mhe. freeman mbowe kuhusu ununuzi wa mashangingi ya wabunge ni kweli huyu mtu anaonekana ana uchungu na nchi yake pia ni mzalendo na anaonyesha moyo wa kutumikia kweli wananchi , lakini wabunge wa ccm na baadhi ya mawaziri wameonekana kukerwa na hili jambo mpaka wakadiriki kusema kama...
Back
Top Bottom