Search results

  1. sicam

    Trafiki amenilazimisha kutumia fire extinguisher yangu

    Nimfanyaje huyu askari trafik nimetoka nyumbani salama mida hii ya asubuhi nimetembea kama nusu kilometa hivi nikapigwa mkono na trafik nikapaki pembeni akaniambia anataka kukagua gari akagua lote akakuta sawa mara akaniambia lete fire extinguisher nikampa akaniambia jaribu nikamwambia ukipres...
  2. sicam

    Mlejesho kwa mchepuko alietishia kuniacha

    Habari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani...
  3. sicam

    Mchepuko anatishia kuniacha

    Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe...
Back
Top Bottom