Search results

  1. SexaMicca

    Je, Nimuonjeshe? Naomba ushauri

    Hivi eeeh! hehehehehheeh kazi kweli!
  2. SexaMicca

    aaah! mimi nalala bwana, usiku mwema!

    mbona husemi karibun tulale jaman..
  3. SexaMicca

    Nani msaliti?

    Pole Exellent! Kuna wadada wengine hawana hizo mambo ndugu yangu, hao ulokuwa nao watakuwa vicheche tu, (aahhh hebu njoo kwangu uone kama hujaja hapa JF kusema "wadada wakipenda hupenda kweli" ohh mara "kuna dada kaning'ang'ania " he he ehe he ) utani tu jaman kha!
  4. SexaMicca

    Could I have this KISS FOREVER?

    Ehh unajua kuimba wewe, wimbo mzuri sana
  5. SexaMicca

    Nani hajawahi kuumizwa!!!!

    HAKUNA. Story nyingine ukielezwa hapa unaweza dhani ni movie acha kabisa
  6. SexaMicca

    Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

    asante Bjbj, pls endeleeni kuchangia bac, maana hapa kuna jambooooo kdg mi ntachangia badae
  7. SexaMicca

    Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema

    Marytina mpendwa Hakunaga kitu kinaitwa mganga ndungu yangu, wote hao ni waongo kweli kweli wewe chunguza kwanza jaman, ukute masai wala hana mpango na huyu mdada. Hakuna kitu kibaya kama wasiwasi, maana kila siku utakuwa unazidi kujitengenezea picha na kuumia tu na unayaona kama ni kweli...
  8. SexaMicca

    Kujipendelea Muhimu

    thanx mbuuu nimesoma comment za watu nimejua kumbe ni kaugonjwa ka wanawake wengi Yani zamani nilikuwa nikiambiwa mama likizo hii twende kuleeee nimefanya booking, yaani ntataka kujua room kiasi gani etc..nikiona mapesa mengi mhhh basi naanza kutafuta sababu ya kutokwenda, ohh tufanye hivi...
  9. SexaMicca

    I'm just thinking....xo xo xo

    safi sana Afrodenz
  10. SexaMicca

    I'm just thinking....xo xo xo

    uchafu gani sasa na wewe? nyie mnaoleta usafi kwenye game ndo huwaga hamfaidi nyie
  11. SexaMicca

    Vicky Kamata aula - Kuimba na Lil Bow Wow

    nami nashangaaaa labda wataimba wanawake na maendeleo..... mi naona mlenda na pilau tu hapa
  12. SexaMicca

    Kwa Wanawake tu...................

    he kumbe!! bora mi humwita babaa naye huniita mamaa hahaha ni hayo ttu
  13. SexaMicca

    Mchungaji Anyeshewa Mvua ya Miaka SIta Jela

    niliiona hii... mwache akutumikie makosa yake anastahili alichokipata
  14. SexaMicca

    quality unazo admire kwa wengine............

    kusema ukweli mimi huwa nakosa Confidence kwenye baadhi ya mambo na hata sijui itanitoka vipi, huwa najitahid kuishinda bado inakuwa ngumu yaani huwa namuadmire mwanamke mwenye Confidence katika mambo>>>
  15. SexaMicca

    pilipili

    tukusaidiaje sasa??
  16. SexaMicca

    Kwanini wanaume wacheshi huvutia sana jinsia ya kike?

    ...usishanggae haya ndo yalimpa urais jk akishinda kwa kishindo kipindi kileeeeeeeee
  17. SexaMicca

    quality unazo admire kwa wengine............

    hapo umenena BJ, sio kakomaa ka sanamu..... mi napenda sana mwanaume anayejua kudekezaaaa, anajali lakini zaidi aijue shughuli sawa sawa mengine yatafuata badae
  18. SexaMicca

    Usiku mwema wadau wa MMU, Leo nitaota nipo na mrembo mmoja wa humu, je wamjua ni nan?

    hahahahahhahah lizzy bwana hiv umekumbukaje huo msemo???
  19. SexaMicca

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    hata bila kufanya mapenzi wala asingefika kokote mana alikuwa anabore sana, kutwa amelala au anasoma kitabu na kusubiri Ernest wakiss na kumdanganya aaghh kwa kweli nilifurah sana alipotolewa. Hivi wadada wa tz wao ni mapenzi tuu hawaoni lingine????
Back
Top Bottom