Search results

  1. baghozed

    Kioo cha Samsung S5mini

    Nahitaji kioo cha Samsung S5mini nipo Dar Mwenye nacho anicheki 0655 44 44 40
  2. baghozed

    Baiskeli inauzwa

    Nauza baiskeli bei elf 80 Nicheki kwa namba 0655 44 44 40 Ina gear
  3. baghozed

    Ipad 1 3G,HDD 1T external

    Nauza ipad 1 3G inatumia line,GB 16 HAINA CAMERA BEI LAKI 2 TUUU NICHEKI 0655 44 44 40 Nauza HDD 1T BEI elfu 80 TUU PIA IPO HP DV 2000 USED NA INA UDHAIFU KIASI NA INAFANYA KAZI BEI LAKI 2 Kwa maelezo zaidi nicheki 0655 44 44 40
  4. baghozed

    Nauza nguo na viatu

    Kwa atakaehitaji nguo za kiume na kike (t shirt na suruali kwa wakubwa na wadogo) viatu (raba na boot) za wakubwa na ndogo. Anicheki kwa 0655 44 44 40 kwa whatsapp bei ni maelewano na mzigo ni wa ubora wa juu. Bidhaa nyingine ntakutumia kwa whatsapp Hivyo viatu ni tsh elf 30 tu kwa kila kimoja
  5. baghozed

    Nauza ps 2 (play station 2)

    Zipo mbili kubwa na ndogo bei maelewano kwa anaezitaka anicheki 0655 44 44 40(hazina tatizo ni used from UK)
  6. baghozed

    MSAADA iphone 4 haitoki katika recovery mode

    WADAU naomba msaada hata wa ku ni assist niweze itoa hii iphone 4 kutoka recovery mode. nimejaribu kuiweka katika DFU MODE NIMESHINDWA hata kwa kutumia redsnow,na ukiiwasha inakaa recovery mode kwa sekunde kadhaa na kujizima,
  7. baghozed

    Msaada wa tatizo la wifi&bluetooth ktk iphone 4s

    NINA IPHONE 4S NIMEITUMIA VIZURI IKIWA NA iOS 6 LAKINI BAADA YA KU UPDATE iOS7 TATIZO LA WIFI NA BLUETOOTH KUTOKUFANYA KAZI LIKATOKEA,NIMEJARIBU KU RESET NET SETTING LAKINI HAIKUSAIDIA, NAOMBA USHAURI ZAIDI
  8. baghozed

    Smart tv rebooting problem

    Wadau nina shida na hii tv samsung LED smart tv UE22ES5400W Ina tabia ya kujizima na kujiwasha kila mara na kuna kipindi inaonyesha bila kujizima sasa kabla ya kwenda kwa mtaalam nilikuwa naomba ushauri wenu
  9. baghozed

    Nauza pikipiki kinglion t122cgz

    Nauza pikipiki aina ya kinglion nimenunua mwezi wa pili mwaka 2013,bei milion moja tu.inafanya kazi ya boda boda,nicheki kwa namba 0655 44 44 40
  10. baghozed

    Je ikiandika hivi ndio nimekosa mkopo?

    na je kuna tofauti gani na wale walioandikiwa "you did not aquire a loan"????
  11. baghozed

    Nauza ipad 1 3g&wifi 16gb

    NAUZA IPAD 1 3G&WIFI 16GB BEI NI 450,000/= ipo katika hali nzuri na haina shida yeyo ile. kwa atakae ihitaji anicheki kwa 0655 44 44 40,au pm pia
  12. baghozed

    NAUZA HP PAVILION dv2535ea

    Intel core 2 Duo @ 1.66 GHz 1.67 GHz RAM 2 GB Graphics by nVIDIA HP WEB CAM WIFI HDD 160GB
  13. baghozed

    Dit kuna shida ganii???

    Kwa wale tulio omba Beng katika taasisi ya teknolojia ya dsm(DIT), Hawa jamaa mbona wako kimya sana na hawajatupa matokeo yetu mpaka sasa au ndio wana subiri NACTE?maswali ni mengi ila majibu hakuna sijui kama kuna mwenye mawazo na hili.
  14. baghozed

    Waliosoma Iyunga Tech

    Nimefkiria sana matukio ya shule niliyosoma kipindi kile nkaona bora nijaribu kukumbuka na wadau,na nijue hali ya hii shule ikoje. Karibuni
  15. baghozed

    Msaada plz kuhusu hii iphone 3g

    nina iphone 3g,ilikuwa na 4.1 firmware nikai upgrade to 4.2.1 na kuitumia sana tu,sasa nikataka kufuta kila kitu kwenye hii simu so nikabonyeza erace all,ikamaliza but ikagoma kuwaka ila nilipoforce nikaiweka kwenye recovery mode,sasa sijui nifanyeje niiwashe hii simu maana ishakuwa kama...
  16. baghozed

    Nyumba vyumba vitatu inapangishwa magomeni mwembechai

    Ipo karibu na DDC MAGOMENI KONDOA UKIIHITAJI 0655 44 44 40,iPo sehemu nzuri na bei yake ni 250,000 kwa mwezi
  17. baghozed

    Upande wa nyumba unapangishwa magomeni mwembe chai

    IPo mwembechai karibu na DDC MAGOMENI KONDOA Ina vyumba vitatu kodi kwa mwezi ni laki mbili na nusu na italipwa kwa miezi Sita au mwaka.ukiihitaji ni cheki kwa no.0655 44 44 40
  18. baghozed

    Nauza iphone 3g (used)

    NAUZA IPHONE 3G 8GB KWA 250,000/= TU IPO KATIKA HALI NZURI nicheki kwa 0655 44 44 40 PICHA NTA ATTACH ANY TIME. NOTE: NI ORIGINAL.
  19. baghozed

    MSAADA WA KU UNLOCK SHARP SIDEKICK PV300 for free

    Habari wana JF nimeletewa simu kutoka ughaibuni Sharp sidekick (T MOBILE) sasa nikiweka sim card za hapa tz inaniandikia Enter code to enable SIM card, JE hizo code ni zipi na ntazipataje?Naombeni mnisaidie kwa hili. Asante
  20. baghozed

    Nahitaji kununua samsung galaxy tab 2 10.1 3g

    Anayeuza galaxy tab 2 anicheki kwa no.0655 44 44 40
Back
Top Bottom