Search results

  1. E

    Msaada kwenye excel!

    wataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D OR F kwa kila somo. Changamoto inakuja pale ninapo kopi formula ya nested if function. Kwenye...
  2. E

    Msaada wa link wadau...

    Ninaomba msaada wa link inayoweza kunipeleka ku-download drivers zinazoweza kufanya kazi kwenye printer yoyote. Iwe ni ndogo tu (light weight). Nimepekua sana nimeshindwa kupata.Ninatumia windows 7 starter, 32 bit.Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu. Ahsante.
  3. E

    Ninaomba msaada kuhusu settings za internet kwenye tecno T612...

    Nimenunua simu tecno T612. Nimekwa kwenye settings za internet. Msaada tafadhali.
  4. E

    Wanakwaya Arusha Walipuliwa kwa Bomu

    Habari hii nimeikuta kwenye tovuti ya gazeti la Habari Leo.
  5. E

    Msaada:Kwa anayezijua shule za sekondari Tinde na Florian...

    Mkoa na wilaya zilipo na historia kwa kifupi?
  6. E

    Ninaomba msaada kwa mwenye product key za ms office professional 2003

    Kama heading inavyoeleza,ninaomba product key za ms office professional 2003
  7. E

    Msaada:Nimepoteza "product key" ya "ms office professional edition 2013"

    Kama heading inavyoeleza,ninaomba product key za ms office professional edition 2013. Ninataka kufanya installation,ninaomba msaada wa kuzipata. Ahsante.
  8. E

    Je,ninaweza kupata UBC, KBC na Citizen TV kwenye dish la futi 6?

    Kama ndivyo, ninaomba frequency, symbol rate na satelitte zinapopatikana. Ninatanguliza shukrani.
  9. E

    Nimekwama katika matumizi ya MS Word?

    Ninaweka page numbers kwenye research report. Tatizo ni kwamba ninataka cover page na title page zisipewe namba. Ninaomba msaada.
  10. E

    Msaada kuhusu TV Dish...

    Nilitafuta materials humu JF ambayo yamenisaidia ku-set dish/LNB na kupata ITV,Star TV,EATV,Capital na TBC1. Naomba msaada (summary) namna ninavyoweza ku-set LNB(C-Band)ya pili ili niongeze channel ikiwemo aljazeera.Ahsante.
  11. E

    Msaada wa kutatua tatizo la modem ya zantel...

    Kila nikijaribu ku-connect inakataa na kuleta ujumbe huu; "access was denied because the user name and/or password was invalid on the domain" na baadaye "the ppp link control protocol was terminated" Ni ZTE Model:AC2746.
  12. E

    BAKITA: King`amuzi si Kiswahili sanifu

    Makamu mweyekiti wa BAKITA ( Omari Kiputiputi), amesema neno "king`amuzi" halijasanifiwa na linatumika kwa makosa katika kifaa cha televisheni. Amesema, "king`amuzi ni kile kitu ambacho huwezi kukiona kwa macho kwa mfano, mashine maalumu ya kugundua mabomu ardhini" Alisema neno sahihi...
  13. E

    Nafasi za Kazi...

    Tembelea tovuti ifuatayo kuna tangazo la nafasi za kazi limewekwa leo:- www.tumaini.ac.tz. Ni katika maeneo yafuatayo:- 1.Tutorial assistants (nafasi 3) 2.Assistant lecturers (nafasi 2) 3.Assistant accountant (nafasi 1) 4.Accountant (nafasi 1) 5.Human resource officer (nafasi 1)...
  14. E

    Msaada kuhusu video formats...

    Nina video katika FLV format. Je, niweke katika format ipi ili ni-burn katika CD? Pia, software ipi nitaweza kuitumia kuipele video katika format husika? Ninatanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo.
  15. E

    Utitiri wa vyama vya siasa nchini una ufanisi/tija gani?

    Wadau, Kuwa na vyama vingi vya siasa vingine hata havisikiki hadi wakati wa uchaguzi ni demokrasia hii? Inamsaidia nani?
  16. E

    Msaada kuhusu internet browser...

    Ninatumia google chrome na internet explorer. Nimeongeza safari na opera, lakini ninapojaribu kuzitumia(opera na safari), zinashindwa kuunganisha mtandao na zineleta sms kwamba an error has ocurred.Nimejaribu ku-uninstal na ku-reinstal bado zinakataa. Je,linaweza kuwa tatizo gani? Google chrome...
  17. E

    Msaada kuhusu airtel modem?

    Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace the handset. Phone number: *99# " Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
  18. E

    Msaada kuhusu airtel modem?

    Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace the handset. Phone number: *99# " Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
  19. E

    Sasa Clouds fm inapatikana Iringa!!

    Nina tune radio yangu, ninashituka kuipata hii radio. Ni kipindi cha michezo cha saa tatu usiku. Ni around 90's Mhz. Wapenzi wa hii radio Iringa, wakati ni wenu.
  20. E

    Vipi hili la kuchaji simu kupitia mtandao?

    Katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka fulani, uongozi wa vodacom uliwahi kuahidi kuwa, ndani ya mwaka uliokuwa ukikaribishwa wangekuja na huduma mpya ya kuchaji simu kupitia mtandao. Kwa walioisikia mnaikumbuka hii taarifa.Kwa anayefahamu, suala hili liliishia wapi? Je, tuamini kuwa ilikuwa ni...
Back
Top Bottom